popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Mlitaka aendelee kunyonyeka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitaka aendelee kunyonyeka?
Sure..Najua imewagusa sana lakini Jamaa ana familia na hana wa kuilea zaidi yake, mvumilieni apambane na utafutaji, hayo maneno hata kwenye kanga yapo.
Mbumbumbu walimlaani kuwa hatapata popote kibarua, hatimaye kapata sasa huo upepo unavyowatoka daaah....[emoji16]Jino kwa jino, akaribie bana boss akikufukuza unatafuta kazi kwingine
Pesa pesa pesa[emoji28]Hakika,"Hakuna mkate mgumu mbele ya chai"
Njoo timu kubwa Africa simba scNgoja nibaki tu kushabikia Chelsea.
Jamaa wana mitazamo ya kishamba sana!!yale ya kina Ngasa kipindi kile anataka kusajiriwa sudan kwa pesa nyingi anakataa eti ana mahaba na yanga, mwisho wa siku yuko wapi?!!usemaji ni taaluma tu kama kazi nyingine wala hakuna kitu cha ajabu hapo.Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wake, hata wachezaji huhama team, hata makocha pia huhama team, mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
Usemaji ni kaziWanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea...
Mbona kawaida. Kawaambia leo hakuna maswali. Ni taarifa tu...cheki jamaa alivo kataa kuulizwa maswali kua wandishi wataharibu story(mipango yao) izi huja za haji hazita fika popote anazidi kuumbuka
Kufanya kazi sio shida mkuu. Angebaki na unazi wake wa Simba pale angeenda kupiga kazi.Hamna maajabu, ana haki ya kutafuta kazi popote pale kwenye riziki ya halali, tumtakie kila la kheri
Kweli kabisa, Manara ni brand kubwa kuliko yanga. Ndiyo maana anaenda kuifanya yanga kuwa kubwa na kuchukua makombe.Mpira ni biashara, Manara ni sehemu ya klabu kufanya brand ya biashara. Kwa sisi tunaojua soka la dunia ya sasa lilivyo hatushangai Manara kwenda Yanga.
Wanaweza wasio mamluki lakini wakakosa "Loyalt."Pia mkumbuke Barbra Gonzalez Kawa fukuza kazi watu wengi pale simba ukiachana na Haji, Je hao aliowafukuza wote ni mamluki wa Yanga?
Yani kuongea kwa Manara kunafanya team ichukue kombe,bila kuwekeza na usajili wa wachezaji Bora?Kweli kabisa, manara ni brand kubwa kuliko yanga. Ndiyo maana anaenda kuifanya yanga kuwa kubwa na kuchukua makombe.
tunajifunza nini hili la haji Manara leo kuingia Yanga
Kabla ya hapo umesikia alivo ongeaMbona kawaida. Kawaambia leo hakuna maswali. Ni taarifa tu...