Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Msaliti mkubwa huyu, waliokuwa wakimtetea leo wamemuone dhahiri anavyoonyesha usaliti wake.
Huyu alikua kunguni anatu back bites, sasa ukweli umejulikana tuhuma zote alizohusishwa zimethibitishika kua ni kweli he was not accused by conspiracy theories it was real
 
Wadau mnaonaje Haji Manara Kuhamia Yanga

Kwa Upande Wangu Nampongeza sana Haji Manara Kuhamia Yanga jamani tukiachana na ushabiki Maslai ndo kila kitu ukiangalia na maisha haya ya Tozo kila sehemu basi lazima uweke ushabiki pembeni na Na uweke Maslai mbele

Haji Manara ni Game changer kwa Upande wa Usemeji wa Mpira kabadilisha ile dhana ya Ushabiki mbele na kusahau maslai binafsi Kwa sasa Mpira ni hela bila hela mambo hayaendi

Maslai ndo kila kitu Huwezi kuweka ushabiki mbele huku unakufa njaaa na kuna familia inakutegemea


Binafsi nampongeza sana Haji Manara Kuhamia Sehemu yenye Maslai ili Kuendesha Maisha yake

Tuacheni hii tabia ya kuzindikiza Watu kwenye Utajiri kama haji Manara alivyofanya akiwa kwenye Team ya Simba
 
dio maana yanga wamerudi haraka moroccokuja kumpokea manara?
 
Lazima akatafue mkate wake mkuu ili familia yake maisha yaende

Achana na ushabiki, Manara atafanya kazi gani zaidi ya ile ya usemaji
Sawa hatumzuii kutafuta riziki, ila kwa staili ya undumilakuwili sidhani kama kuna mwajiri ambaye anaweza kuivumilia eti kwakua anatafuta mkate

Kingine nikutokana na maneno yake mwenyewe kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa, lakini leo???
 
Wadau mnaonaje Haji Manara Kuhamia Yanga

Kwa Upande Wangu Nampongeza sana Haji Manara Kuhamia Yanga jamani tukiachana na ushabiki Maslai ndo kila kitu ukiangalia na maisha haya ya Tozo kila sehemu basi lazima uweke ushabiki pembeni na Na uweke Maslai mbele
Upo sahihi sana Mkuu
 
Wana simba tujiandae kisaikolojia, huyu kiumbe anakera [emoji23] ..
 
Namuona MANARA anayezidi kupotea....
Haya ni maamuzi yanayotokana na deep stess...
 
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga

======

Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea

"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.

“Baada ya kutanga kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”

Pia, soma=> Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

View attachment 1906602
Kweli leo naamini waliokua wakisema huyu bwabwa na bwana zake wanajulikana na zaidi alikuwa akitumiwa na jamaa kbs

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom