Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

haya sasa tuliwaambia watu kua yule ni snitch mkabisha

Enhee yale manung'uniko yake kwenye zile clips akilia kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa yako wapi?
Simba ilishamfukuza sasa ulitaka akae bila kazi?
 
haya sasa tuliwaambia watu kua yule ni snitch mkabisha

Enhee yale manung'uniko yake kwenye zile clips akilia kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa yako wapi?
Kashauza mafaili yoote na jinsi tulivyokuwa tuna nunua matokeo
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sasa kila siku atakuwa anazungumza mabaya ya viongozi wa simba .
wakati huo huo Simba itakuwa inacheza uwanjani. Hata sasa Simba wapo pre season, Yanga wapo Serena kwenye press ya Manara
 
Kumbukeni na Ezekiel anaondoka baada ya miezi miwili gabachori awe msemaji rasmi
 
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga

======

Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea

"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.

“Baada ya kutanga kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”

Pia, soma=> Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

View attachment 1906602

Hata yule bwana wa Twitter kasajiliwa Lumumba FC, kwa hakika hamna jipya
 
Nashangaa comment za watu, kwemye maisha tafuta pesa kwa nguvu zote, tafuta utajiri kwa nguvu zote, kwa ajili yako na familia yako. Haya mengine ni upumbavuh tu.. ufe kwa ajili ya kuwa simba au yanga? Kwamba ukiwa simba usifanye kazi yanga au ukiwa yanga usifanye kazi simba..ni ujinga..mwaga mihela mezani watu wapige pesa.

NB: Nasikia Luis nae kutangazwa.
 

Attachments

  • VID-20210824-WA0070.mp4
    736.4 KB
Kila La Heri Kwa Hadji Manara
Tulia Fanya Kazi Mengine Ni Pesa Tu Hitaji Kwa Kila Mtanzania
 
Kwanza nmpongoze Mwamba haji manara pamoja na mikimiki yote hajapoteza ubora thaman yake bado ipo ndo mana yanga wamemchukua.siamn Kama alharbu simba kW kushabia yaNga bali n mitihani y kazi...kwahyo mlitak taaluma yake ife?
 
Back
Top Bottom