Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mtoto karudi nyumbani kwa baba yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uuwiii!! Hayo mambo anaeza Manara Mkuu. 😀Mkuu tunakuomba na wewe uhamie Simba kama hutojali.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Eti eee? Ngoja tuone mdogo wangu. 😀[emoji23]Nendeni naye taratibu..Itamchukua muda kuzoea Dada..
Clip ipi? Je hiyo clip alisemaje?kunathibitisha kupitia clip yake, ulisikiliza clip yake?
Tuone yajayo tu.!!Mshauri Mkuu wa Yanga Senzo muda huu amemtambulisha rasmi Haji Manara kuwa karudi Yanga
Habari zaidi kufuata
Kaka angu nnalo basi. Tumeuachia uongozi kwa kuwa umemuona anafaa. 🙁Hivi@Shadeeya anasemaje kuhusu hili la Manara kuja upande wetu
Hivi huyo Madam anajua kwamba leo umemsifia na si mara moja? 🤣🤣🤣🤣Ukimya wa Madam wetu leo umetoa jibu sahihi,
Madam.....Akili kubwa sana
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji837]View attachment 1906632
KWA HIYO UNATAKA KUNIAMBIA YANGA TUMEPIGWAIshu ya Senzi ni tofauti kidogo na Manara
Ila kama mnaingiza siasa kwenye mpira kwa nini timu haina kocha msaidizi wa viungo na mengine utanisaidia pia hamjapata mechi za kutosha za kujipima badala muelekeze nguvu huko mnaleta kina manara yetu macho dada.Uuwiii!! Hayo mambo anaeza Manara Mkuu. [emoji3]
Hivi huyo Madam anajua kwamba leo umemsifia na si mara moja? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpira ni ajira brotherNimeishiwa pozi aisee
Kwani ni mchezaji?Atacheza namba ngapi?
Inawezekana alikuwa simba kutafuta maisha au anakwenda yanga kutafuta maisha
Mkuu ulikuwa sudani ya kusini?Chanzo?
Wenye akili hii kauli tumeielewa...."reserve"sijawahi kuwa na matatizo na Simba.