Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Utelembwe wanatema mate tu mda huu. .
Si mlimfukuza? Mlitaka akae vijiwen kama nyie.
 
Kila la kheri Mnyama mstaafu kapate mkate wa kuilisha familia yako. Ngoja sisi tubaki na timu yetu.
 
Pia mkumbuke Barbra Gonzalez Kawa fukuza kazi watu wengi pale simba ukiachana na Haji, Je hao aliowafukuza wote ni mamluki wa Yanga?
 
Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wakrme,hata wachezaji huhama team,hata makocha pia huhama team,mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
kunathibitisha kupitia clip yake, ulisikiliza clip yake?
 
Huko kweli kwao ndio maana Jerry Muro alimuita kwa jina lake halisi Zeru zeru.
 
Manara hana professional nyingine ya kumuingizia kipato chake ili aweze kuilisha familia yake,

Acheni akapate kazi ya kuendeleza maisha yake,
Yap! Hiki ndo kimemleta na upande wa mapenzi kwa Yanga hayapo.

Na ndio sababu wakati namsikiliza kuna sehemu alisema Klabu yenu. 🙃 angekuwa mshabiki kweli asingetumia hiyo yenu.
 
Yap! Hiki ndo kimemleta na upande wa mapenzi kwa Yanga hayapo.

Na ndio sababu wakati namsikiliza kuna sehemu alisema Klabu yenu. 🙃 angekuwa mshabiki kweli asingetumia hiyo yenu.
Yaah ndo hivyo na hana namna nyingine ili aendelee kuishi na madeal mengi anayapata kupitia usemaji wa soka
 
Back
Top Bottom