Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Hakika hiki ni kichekesho cha mwaka, hata yule mzee "wamiatisa inalipa" kafunikwa.

We ulishaona wapi shabiki wa timu ya mpira akahama timu, tena nakuhamia timu pinzani?
Kiufupi mpira wa bongo utabaki hapo hapo ulipo miaka zaidi ya 20 mbele.
 
Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wake, hata wachezaji huhama team, hata makocha pia huhama team, mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
Lakini sio shabiki.
Shabiki ndie mwenye timu, Shabiki haami timu, sababu mapenzi ya timu ya mpira ni tofauti na mapenzi ya chama cha siasa.

Vichekesho aina hiyo Dunia mzima vinapatikana Bongo tu.
 
Lakini sio shabiki.
Shabiki ndie mwenye timu, Shabiki haami timu, sababu mapenzi ya timu ya mpira ni tofauti na mapenzi ya chama cha siasa.

Vichekesho aina hiyo Dunia mzima vinapatikana Bongo tu.
Nakubaliana na wewe,ushabiki wa team hauwezi kubadilika,huwezi kuhama team,But Manara anaweza kufanya kazi Yanga ila mapenzi yake yakawa kwa Simba,yeye ndiye anajua siri yake ya ndani.
 
Kumbe ndo maana alitaka kuvuruga Simba ndo aondoke akashtukiwa.Nenda Manara, nenda Manara, Nenda Simba wapumue
 
Shabiki wa Kweli wa Simba hawezi kuhamia Yanga na Vice Versa..., labda kama amehamia kimaslahi na sio kimapenzi...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…