Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

Siku ukifanya kazi kwa muhindi utaelewa alichokisema Manara. Kiufupi Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta Manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Sasa kwani manara ni ngozi nyeusi...?
 
Kwani ilishindikana nini kuachana vizuri , kwa nini wameamua kuachana naye kwa kumzuria uongo na kwamba ni msaliti , harafu nyie mashabiki mnaumia nini wakati vita hivi haviwahusu ni kati ya Manara na wanaojiita mwe kezaji uchwara wa Chimba.
 
Exactly ndo alichokuwa anafanya hasa mechi za derby
Jamaa ni chizi tu yule, hana issue yeyote. Akaombe kazi ya kumbebea mwamvuli Diamond na kumpelekea kopo la maji ya kuchamba chooni.
 
Kwani ilishindikana nini kuachana vizuri , kwa nini wameamua kuachana naye kwa kumzuria uongo na kwamba ni msaliti , harafu nyie mashabiki mnaumia nini wakati vita hivi haviwahusu ni kati ya Manara na wanaojiita mwe kezaji uchwara wa Chimba.
Kwani uongo
 
Tuliwaambia tangu mwanzo, ila mlikuwa mnamshangilia na kumuona yupo vizuri,japo alikuwa anaongea ugoro tangu zamani
Sijawahi kumshabikia Manara hata siku moja kwanza sikuona umuhimu wake klabuni....hana any impact kwa wachezaji na hata wachezaji wenyewe walikuwa hawamkubali kwa kelele zake. Dogo alijifanya yeye ni zaidi ya Simba. Kwa kweli Mo inabidi amkamate na kumshitaki kwa kuitumikia Simba miaka yote hiyo wakati hana kigezo chochote. Mtu shule hana eti anataka alipwe mamilioni kila mwezi kwa ajili ya kupiga majungu tu. Aende Wasafi sasa wakamtafutie kipindi cha majungu redioni.
 
Manara hajazungumza kuwa target mashabiki ..
Kuna watu maalum kawa target..
Watu wenye nguvu ya kuamua..
Ukimuattack Mo automatically umeattack mashabiki na wapenzi wa Simba

Mashabiki na wapenzi wa Simba tunachotaka ndio kinatokea, makombe back to back, robo fainali club bingwa, wachezaji wa viwango vya juu e.g Peter Banda, pira biriani
 
Hakika
 
Hilo la kwanza hahaaaaaa....
 
Chori chori bachani! Tajiri iko wivu na chuki na chepuko yake, taka miliki simba pamoja hio View attachment 1881795
Tajiri mswahili ... Mambo gani haya ya kuyasema mtandaoni... Eti nani kalipia sign yako?[emoji23][emoji23]

Ndo maana wachezaji imebidi wampost boss kwamba tupo upande wako usiogope! Njaa hizi [emoji23][emoji23]
 
Tajiri mswahili ... Mambo gani haya ya kuyasema mtandaoni... Eti nani kalipia sign yako?[emoji23][emoji23]View attachment 1883126

Ndo maana wachezaji imebidi wampost boss kwamba tupo upande wako usiogope! Njaa hizi [emoji23][emoji23]
Huyu ni miongoni mwa wale wachezaji aliowatumia manara alipoletewa mrungula kuihujumu timu kwenye mechi ya derby na keizer chief south
 
Siku ukifanya kazi kwa muhindi utaelewa alichokisema Manara. Kiufupi Mo ni tapeli. CAG akakague hesabu za simba. Yaliyomkuta Manara ni mambo ya wahindi. Wahindi wanapenda kudhurumu ngozi nyeusi.
Hivi Manara ni ngozi nyeusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…