Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora aachane na Wazee Watatu ila huyo Mmoja wa Magomeni ( na ambaye anamjua mno ) amtafute akamuombe Radhi vinginevyo kuna Giza nene naliona linaweza kutanda muda si mrefu.Anaangukiwa Mungu pekee
Haji Manara amuangukie Mungu kwa salama yake
Nyuma yako nikiwa nakupumulia vizuri.Sasa na we unatesekea ukiwa upande gani?
Pumbavu....!!!!Mkuu samahani, ni nini icho umekisema kwenye huu uzi wako?
taarifa ya ajali au manung'uniko?
Sasa hivi namchukia ile mbaya Haji Manara ila sijafikia hatua ya Kumuombea Kifo bali namuombea Maisha marefu duniani yenye Mateso mengi ya Kisaikolojia hasa kwa Mafanikio makubwa ya Uwanjani ambayo Simba SC inaenda kuyapata.
You too kiongozi 😂😂Pumbavu....!!!!
Pole ya nini hakuna ajali liongo lileePole sana kwa Haji Manara
Nilikuja na Uzi hapa Wiki iliyopita kuhusu kuambiwa Jambo na Wazee Wanne wa Klabu Moja juu ya Hasira yao Kali kwa Msukule mpya wa Jangwani ila wengi wenu kama kawaida mkanipuuza ila walichoniambia walikuwa wanakimaanisha na Kauli yao ya mwisho Kwangu ni kwamba ndani ya Siku Saba alitakiwa akaombe Msamaha na zikipita Wasilaumiwe na nadhani Kazi ndiyo wameshaianza hivyo.
Hakuna mwanaume anayeweza kumpangia mwanaume mwenzake namna yakutafuta pesa, wewe tulia hiyo ni kazi ya mwanamke. Kuna watu wa ajabu sana mnataka abaki hapo alipokuwa alafu baadae akishindwa kulea familia yake muanze kumcheka, acheni hizo mambo wakuu mjaribu kukuwa basi ata kidogo.Sasa hivi namchukia ile mbaya Haji Manara ila sijafikia hatua ya Kumuombea Kifo bali namuombea Maisha marefu duniani yenye Mateso mengi ya Kisaikolojia hasa kwa Mafanikio makubwa ya Uwanjani ambayo Simba SC inaenda kuyapata.
Na leo nasema hapa hapa Post yangu hii itunzeni kuwa Haji Manara huyu huyu ipo Siku atatuomba Msamaha wana Simba SC wote, Kukiri makosa na kuomba arejee kuwa nasi hata kama siyo kuwa sehemu ya Viongozi / Waandamizi.
Kwani kusaidia Polisi ni Crime? Pumbavu.Mkuu mambo mengine ata Kama uliambiwa bak nayo wewe maana mtu akija kupata madhara waweza kuisaidia police
Kwani kusaidia Polisi ni Crime? Pumbavu.
Hakuna picha,sanasana atatoa ile ajali ya dodoma,anataka kutoa aibu ya kuzomewa jana na domo lake lileWeka picha tafadhali
Fak
Akili za KOLO, ungepata faida ganibora angekufa
Bora aachane na Wazee Watatu ila huyo Mmoja wa Magomeni ( na ambaye anamjua mno ) amtafute akamuombe Radhi vinginevyo kuna Giza nene naliona linaweza kutanda muda si mrefu.