Ingia youtube msikilize hanspope manara alipewa asaini mkataba awe anakula milion 4 kwa mwezi pia kuna kifungu kinachomkataza asijihusishe kutangaza kampuni nyingne tofauti na waajiri wake SSC alikataa akakubali wa 700k ili afanye biashara na kina Asas, GSM na azam tv