Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

😲😲🤣Mkuu unaleta ishu za CONSPIRACY THEORIES ?!!

Haji Manara amezingua Kiukweli....usitutoe katika "miyeyusho yake"....Haji kazingua....
 
Taaluma yake ni uandishi wa habari?
Waandishi wengi wa habari wanafanya kazi bila mikataba ya ajira kwa malipo kiduchu
 
Hiyo nafasi aliyopewa SSC hata kama asingelipwa kabisa ni pesa tosha kama angekuwa na akili timamu.

Anapoteza muda mwingi kulumbana na waandishi kwenye issue za kijinga tu badala ya kutumia huo umaarufu alioupata kupigia pesa.
 
Kama hamna uwezo wa kumlipa zaidi ya hiyo laki 7, si muombe msaada kwa wananchi tuwachangie!! Sisi pale Jangwani Hassan Bumbuli anakula M. 2 na ushee!!

Halafu nyinyi mnamlipa mtu laki 7!! Hamuoni mnachangia kumsababishia msongo wa mawazo? Kwa maisha ya Mjini mbona laki 7 ni hela ndogo sana!!!
Hiyo laki 7 ndiyo mishahara ya watu wengi hapa mjini na degree zao
Wanajenga nyumba, wananunua magari na watoto wanasoma
 
Teh Teh Teh.

Young Africans tunaenda kupiga pale pale kwenye mshono.

Yaani tunaenda kutatua mshono!
 
Hili suala Wala halihusiani,halafu mkuu mbona kama siyo wewe au Kuna mtu ka hack I'd yako

Una vision Sana lakini kwa hili? mmmh
 
Hii ishu ya manara ni ndogo kuzima izo ishu ulizotaja hapo.

Watu wengi hawafatilii mpira na bora basi ingekua ishu zinazohusu timu nzima, yani mgogoro wa watu 2 tu. ??
 
Manara kasumbua kweli sio maigizo hayo Mkuu walianza kumsema kabla ya mechi kuwa kirusi ni yeye kwenye Timu mambo zote wanazopanga GSM anazipata maana anamlipa manara kwenye kazi zake akiomba chochote kuhusu Simba hawawezi kukataa kutoka kwa boss wake GSM hiyo ndio vita yao kubwa...
 
😂😂😂😂😂 daah nikajua ni mkude simba kumbe ni de le bos.

Huyu mzee apimwe akili anamlilia nani sasa?? Yani analipwa laki 7 na analalamika namna hiyo, ana mikataba na makampuni makubwa tz, na apo anabembelezwa asaini mkataba wa 4m.

Sometimes tunamlaumu Mungu bure tu, na option aliyoona inafaa ni kulia lia kwenye media!! Aisee simba mna mtu.
#sisi_tuna_watu.
 
Back
Top Bottom