Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi ataondoka Simba kwani amemkuta

Manara aache utoto anatafuta huruma za mashabiki
Kama hamna uwezo wa kumlipa zaidi ya hiyo laki 7, si muombe msaada kwa wananchi tuwachangie!! Sisi pale Jangwani Hassan Bumbuli anakula M. 2 na ushee!!

Halafu nyinyi mnamlipa mtu laki 7!! Hamuoni mnachangia kumsababishia msongo wa mawazo? Kwa maisha ya Mjini mbona laki 7 ni hela ndogo sana!!!
 
Manara ni mjinga, anajua ameshaharibu kwa utoto wake wa kucheza na kina Kitenge sasa anahangaika kutafuta huruma, ameshapotea, Barbara hajamjibu, amesema atamjibu game ya jumapili ikiisha, kama Manara alitumwa na kina Kitenge na GSM kuivuruga Simba ili ipoteze mchezo ameliwa.
 
Kama hamna uwezo wa kumlipa zaidi ya hiyo laki 7, si muombe msaada kwa wananchi tuwachangie!! Sisi pale Jangwani Hassan Bumbuli anakula M. 2 na ushee!!

Halafu nyinyi mnamlipa mtu laki 7!! Hamuoni mnachangia kumsababishia msongo wa mawazo? Kwa maisha ya Mjini mbona laki 7 ni hela ndogo sana!!!
ile faini ya milioni 5 aliyoenda kulipa harakaharaka TFF nani alimpa pesa, tatizo anajikweza sana anataka kuonekana matawi wakati vigezo hana.
 
Back
Top Bottom