Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Atafute kazi ingine yakufanya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waongo sn msemaji wa timu( HAJI) alipwe Million 20 kwa mwezi apewe kama mshahara wachene maskhara nyie watu.Alipewa mkataba wa kulipwa kila mwisho wa mwezi M20 akakataa wenye kipengele cha kutojihusisha na kampuni zingine kwaiyo atulie tu na Laki 7
Manara ana muda mrefu kapewa mkataba wa m4 anagoma kusainiAnalipwa 700? Kwa currency ipi?
Simba mwondoeni Haji Manara fasta. Huwezi kumtukana boss wako hadharani hivyo hata kama amekukosea!! Kwa hadhi ya Simba Manara hafai!! Ni mtoto wa kijiweni! Kwa lugha hiyo hata hizo laki saba hastahili!! Hebu tupieni cv ya Manara hapa!! Nilikuwa nampenda sana, lakini kwa uswahili huo hastahili kuwa Simba!!Leo nimesikia audio ikitembea mitandaoni inayodaiwa kuwa imerekodiwa na Manara akimtuhumu kwa mambo mengi Barbara.Inaonekana hawa watu wana mgogoro wa mda mrefu na hawawezi kufanya kazi tena pamoja. Wewe kama mwanasoka unadhani nini kifanyike? Au ni madhara ya Mo kujimilikisha timu kifamilia?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenye audio hyo Manara kaenda mbali zaidi na kumtishia Barabara sijui Barnaba sorry Barbana,duuh Barbara kwamba ataiacha timu kama alivyoikuta.Sasa hapo sijui nani anaondoka nani anabaki.
Povu ruksa nina nguo chafu hapa.
Najaribu kuapload audio husika hapa inazingua
=====
Afisa Habari wa Simba Haji Manara ameamua kumtolea uvivu Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo Barbara Gonzalez.
Haji anadai Mtendaji huyo amekuwa akimuandama sana na kumnyima raha muda wote toka ameshika majukumu hayo.
Pia, soma> Barbara Gonzalez amkwepa Manara, asema focus yake kushinda game ya Jumapili
View attachment 1862918
Ni milioni nne sio milion 20Acha uongo. Angepewa offer ya namna hiyo asingelalamika kuhusu laki saba. Halafu Mhindi amlipe M20?.Acha uongo.
Na akakataa kusaini ili awe huruNi milioni nne sio milion 20
Nne si nyingi. Bora laki saba na yupo huru kufanya kazi za kutangaza mpaka kina Suguye.Ni milioni nne sio milion 20
Hizo ni mind games kuelekea Kigoma lake Tanganyika ili kuwatoa kidogo wakina mzee Mpili kwenye reli kamati zimeanza kazi