Mbona unaichukulia JF serious sana. Mbona babako yupo WhatsApp,Instagram na Facebook. Last time app ya jf ikawa inazingua nikamwambia awe anatumia web version kupitia chrome.Wewe na baba yako wote pamoja humu?umejuaje?
Ohoooooooooo!Ilaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawajuani wala nn
Uwiiiiiih.
Wangeenda kuomba ushauri kwa mzee Mwinyi, ana wake wawili lakini mmoja tu ndio kama anamuonesha bibi Siti mwingine ni chorus tu na ndoa zimedumu. Sasa wewe wote unataka wawe lead singer haiwezekani. wazee zamani wana busara sana.Sawasawa nakubaliana na wewe katika hili haipendezi kuanika wenza wetu hasa katika mitandao ya kijamii, nyaki nyaku ziko pale zinasubiri kunyakua, tena mtu ni maarufu 😂😂😂tumewaona wengi na waliangukia pua
Hata kutambulisha mashosti bwana ako haitakiwi labda awe mume na ukiwa na mume shosti wa nini, mi ndo maana naonekana naringa huwezi kujua mapito yangu labda niamue kukusimulia ila katika vitu sivitaki ni ke kuzoeana na mtu wangu hata kwa kumtizama picha tu sitaki,
Sidhani kama tabu ni hiyo huyu zungu ana shida zake tu, na mdada alifata umaarufu wa kuonekana kwa madanga, kafanikiwaWangeenda kuomba ushauri kwa mzee Mwinyi, ana wake wawili lakini mmoja tu ndio kama anamuonesha bibi Siti mwingine ni chorus tu na ndoa zimedumu. Sasa wewe wote unataka wawe lead singer haiwezekani. wazee zamani wana busara sana.
Kapata umaarufu waliokuwa anautaka lakini kumbuka bongo fursa watu hawaziachi hapo bado ana trend mtu atapita tu kuongeza mileage na yeye atatumiwa tu kama daraja ndio bongo hiiKwa Urembo huo hawezi kukosa sponsor wa kuendelea kumtunza
Absolutely Mkuu.Kapata umaarufu waliokuwa anautaka lakini kumbuka bongo fursa watu hawaziachi hapo bado ana trend mtu atapita tu kuongeza mileage na yeye atatumiwa tu kama daraja ndio bongo hii
Sidhani kama tabu ni hiyo huyu zungu ana shida zake tu, na mdada alifata umaarufu wa kuonekana kwa madanga, kafanikiwa
Kapata umaarufu waliokuwa anautaka lakini kumbuka bongo fursa watu hawaziachi hapo bado ana trend mtu atapita tu kuongeza mileage na yeye atatumiwa tu kama daraja ndio bongo hii
Absolutely Mkuu.
Kwa umaarufu aliopata ataanza kudanga Dubai na Locally maeneo ya Machimbo, manake huko Kuna Mapendeshee wenye nazo nazo hawaoni shida kumlipa 1000k au 2,000k kwa usiku Mmoja
Kweli kuishi maporini shida, yaani hata Yogo sijamjua 🙆🥱Yogo anajilia pale sa hv , demu anakula Kwa madanga analala Kwa Yogo ,
Ni ghafla na siyo ghafraUmeanza kwa kuuliza, lakini ghafra umekuwa kama una uhakika hadi ukaona sababu ya kuchapiwa ni kuanika wake zake mitandaoni..!! Tuna safari ndefu sana
Wanaume wengine wana roho ngumu mimi nijuwe mke wangu anafanya hayo halafu bado nimwite mke wangu, kweli binadamu hatuko sawa.Yogo anajilia pale sa hv , demu anakula Kwa madanga analala Kwa Yogo ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hili akae kmyaa huyu Sope ataumbukaa vibayaaaaa.Anavyomtishia sasa yaan mi sipendi mtu anitishie ndio naweza ongea mwaka mzima
Ena wenga mlongooo, mundu na mdala waki vigenda na mgosi mmonga. Koto kinila nikujovelaaaa.Ohoooooooooo!
Mlongo wangu pepaaiiiiii, mtu na mngana wake kweeeli?
yenyeee hii ngooondo!
Duh hata Ruby?Wake zake wote pale hakuna mwanamke pale...
Ova
Nakadori I love you basi kwa hiyo tusipandane ili wanga wasije kuturoga kwa sisi watu wa Simba tunafurahia tu tukisikia manara yamemkuta ana mdomo sanaMjini kweli hawapendi watu wapendane halafu wajioneshe.... hata kama mnapendana mnapaswa mjifanye hampendani maana wanga wengiii
Kweli tupendane kimya kimya wasituone maana hawashindwi kutuwangia tukachukiana kama manara na rushy🤣🤣Nakadori I love you basi kwa hiyo tusipandane ili wanga wasije kuturoga kwa sisi watu wa Simba tunafurahia tu tukisikia manara yamemkuta ana mdomo sana
kabisa yule kilichomcost kwanza anaongea sana na ana maadui halafu kila muda anajifanya anampost sasa hapo watu watakuwa wamemgongea makusudi alitakiwa asiewe ana weka mapichapicha ya wake zake mtandawoniKweli tupendane kimya kimya wasituone maana hawashindwi kutuwangia tukachukiana kama manara na rushy🤣🤣