Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Wewe na baba yako wote pamoja humu?umejuaje?
Mbona unaichukulia JF serious sana. Mbona babako yupo WhatsApp,Instagram na Facebook. Last time app ya jf ikawa inazingua nikamwambia awe anatumia web version kupitia chrome.
 
Ilaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hawajuani wala nn

Uwiiiiiih.
Ohoooooooooo!
Mlongo wangu pepaaiiiiii, mtu na mngana wake kweeeli?
yenyeee hii ngooondo!
 
Sawasawa nakubaliana na wewe katika hili haipendezi kuanika wenza wetu hasa katika mitandao ya kijamii, nyaki nyaku ziko pale zinasubiri kunyakua, tena mtu ni maarufu 😂😂😂tumewaona wengi na waliangukia pua

Hata kutambulisha mashosti bwana ako haitakiwi labda awe mume na ukiwa na mume shosti wa nini, mi ndo maana naonekana naringa huwezi kujua mapito yangu labda niamue kukusimulia ila katika vitu sivitaki ni ke kuzoeana na mtu wangu hata kwa kumtizama picha tu sitaki,
Wangeenda kuomba ushauri kwa mzee Mwinyi, ana wake wawili lakini mmoja tu ndio kama anamuonesha bibi Siti mwingine ni chorus tu na ndoa zimedumu. Sasa wewe wote unataka wawe lead singer haiwezekani. wazee zamani wana busara sana.
 
Sidhani kama tabu ni hiyo huyu zungu ana shida zake tu, na mdada alifata umaarufu wa kuonekana kwa madanga, kafanikiwa
 
Kapata umaarufu waliokuwa anautaka lakini kumbuka bongo fursa watu hawaziachi hapo bado ana trend mtu atapita tu kuongeza mileage na yeye atatumiwa tu kama daraja ndio bongo hii
Absolutely Mkuu.

Kwa umaarufu aliopata ataanza kudanga Dubai na Locally maeneo ya Machimbo, manake huko Kuna Mapendeshee wenye nazo nazo hawaoni shida kumlipa 1000k au 2,000k kwa usiku Mmoja
 
Yogo anajilia pale sa hv , demu anakula Kwa madanga analala Kwa Yogo ,
 
Urahisi wa Ndoa za kiislamu ndiyo unaosababisha zisiwe na thamani maana kuacha au kuachwa ni simple tu...........

NB:MANARA ajitathmini kama anaweza kuwa na wake zaidi ya mmoja na akafuata sheria ya Dini yao inavyotaka na siyo kutaka sifa za kijinga tu
 
Ohoooooooooo!
Mlongo wangu pepaaiiiiii, mtu na mngana wake kweeeli?
yenyeee hii ngooondo!
Ena wenga mlongooo, mundu na mdala waki vigenda na mgosi mmonga. Koto kinila nikujovelaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Povu km povu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sopee ana haha huyuuu, lol
FB_IMG_16734263256701701.jpg
 
Kweli tupendane kimya kimya wasituone maana hawashindwi kutuwangia tukachukiana kama manara na rushy🤣🤣
kabisa yule kilichomcost kwanza anaongea sana na ana maadui halafu kila muda anajifanya anampost sasa hapo watu watakuwa wamemgongea makusudi alitakiwa asiewe ana weka mapichapicha ya wake zake mtandawoni
 
Back
Top Bottom