Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Unamjua in-person??
 
Anaishi kwa kupiga matajir mizinga

Ova
 



Pisi kama hii inahtaji pipe mashine , nyie mapedeshee wenye pesa zenu mnatakiwa mjue hlo , viben ten na boda lazima wawachapie tuuu...imagine umempeleka demu shopping Kali marashi kama yote alaf anaenda kupanua upaja Kwa kibenten na kinasimamia ukucha masaa matatu ( nothing to loose) demu lazima akukimbie tuu na vijisent vyako😁😁😁😁😁
 
Ndio sababu wanaoa na kuacha wengi...

Huwezi kuoa na kuacha kama ulikuwa mwema wewe na ukamuomba Allaah akakupa mwema...au otherwise Allaah alijua kuwa wewe utabadilika huko mbeleni utamtesa bint mwema...kwahiyo atakupa muovu kulingana na hali utakayokuwa nayo baadae....

Kwa sababu Allaah anajua ya siri na yajayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…