Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Picha za mke mdogo wana jf

tumthaminishe
1673529147542.jpg
 
Ila rushyna mkorofi na kibri sana bwana
Sio wife material kabisa.
Kiafrica ukitaka ndoa na hyo ndoa idumu lazima mwanamke u surrender baadhi ya haki zako...na pia kutimiza wajibu flani flani.
Tena ashukuru hata dubai alikuwa anapelekwa...wengine hata kwenye chips za mgosi hapelekwi na bado matusi na kipigo juu.
Unamjua in-person??
 
Haji anamsifia mke mkubwa baada ya kuachwa na mke mdogo! Haji anaoa na kuacha tayari keshajulikana mjini hana biashara wala uwekezaji wowote yaani ni chawa kama akina Baba Levo, tena wenzake wanamshinda akili, haji anaoa wanawake wanamjua ni janja janja wanaachana nae haji atabaki kama kumbukumbu ya mahusiano kwa jamii,
Anaishi kwa kupiga matajir mizinga

Ova
 
IMG_20230113_075446.jpg

IMG_20230113_075411.jpg


Pisi kama hii inahtaji pipe mashine , nyie mapedeshee wenye pesa zenu mnatakiwa mjue hlo , viben ten na boda lazima wawachapie tuuu...imagine umempeleka demu shopping Kali marashi kama yote alaf anaenda kupanua upaja Kwa kibenten na kinasimamia ukucha masaa matatu ( nothing to loose) demu lazima akukimbie tuu na vijisent vyako😁😁😁😁😁
 
Na ndo maana katika comments za mahusiano nikaandika mwanaume mke wako mwema utampata kwa muumba wako. Ni unatakiwa usali ama kuswali haswa. Ukiwa wataka kutafuta mke ama kuoa jitenge na uchafu kwanza afu muombe Mungu akupe mke.

Ukiwa na imani utampata. Tatizo wanaume wengi mnatumia sana akili zenu wenyewe na macho,mioyo idanganyayo. Naonaga wanawake weng ndo wanaswali ama sali kuolewa na mume mwema lakin wanaume hamjishughulishi mkiamini wanawake wako wengi hamuwezi kukosa mke wa kuoa.

Msichojua wanawake weng saiv ni masecretary wa kuzimu. Anaweza hata kuigiza wife material ili umuweke ndani. Ukishamuweka unaanza kuisoma. Lakin laiti kama kungekuwa na sala ama swala involved..naamin Mungu hawezi kukuchagulia mke mwovu akati anajua wewe kijana wake ni mwema sana.

Lets pray to get eternal spouses. Tutakaozeeka nao kwa mapenzi katika hali zote. Lakin kama unaamin utampata kanisani kwamba ndo mwema..ombe haya, kama unaamini utampata kitambaa cheupe ombe haya...dont trust your heart too much..it can deceive you.
Ndio sababu wanaoa na kuacha wengi...

Huwezi kuoa na kuacha kama ulikuwa mwema wewe na ukamuomba Allaah akakupa mwema...au otherwise Allaah alijua kuwa wewe utabadilika huko mbeleni utamtesa bint mwema...kwahiyo atakupa muovu kulingana na hali utakayokuwa nayo baadae....

Kwa sababu Allaah anajua ya siri na yajayo...
 
Back
Top Bottom