Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Mond kafanya yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kala ndogoMond kafanya yake
Picha za mke mdogo wana jf
tumthaminishe
Ubingwa hana hajiye mwenyewe anafanyiwa ushenzi .
Kwan nae zikaba yule?
ComfirmedManara hana urijali wowote wa kumfanya mwanamke ajisikie mwanamke. Labda atumie vidole
View attachment 2475136
Unamjua in-person??Ila rushyna mkorofi na kibri sana bwana
Sio wife material kabisa.
Kiafrica ukitaka ndoa na hyo ndoa idumu lazima mwanamke u surrender baadhi ya haki zako...na pia kutimiza wajibu flani flani.
Tena ashukuru hata dubai alikuwa anapelekwa...wengine hata kwenye chips za mgosi hapelekwi na bado matusi na kipigo juu.
Kuna kunya kwanza leba si mchezo.Ila na wenyewe muziki wanaupata maana ukiingia kule leba shughuli yao kule ni pevu kiasi kwamba usipojikaza waweza zirai [emoji16]
Kila mwanamke akiingia leba wakati wa kupush lazima haja kubwa na ndogo zimtoke!! Kaulizeni wakunga watawapa habari.Kuna kunya kwanza leba si mchezo.
Usupastar wa kingeseManara kwa sakata hili kawa maarufu maradufu story katk mitandao ya jamii Ni yey tu jamaa actually amekuwa supastar
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwani kulikuwa na ndoa pale[emoji849][emoji849][emoji849] hadi mke wa ndoa jaman
Anaishi kwa kupiga matajir mizingaHaji anamsifia mke mkubwa baada ya kuachwa na mke mdogo! Haji anaoa na kuacha tayari keshajulikana mjini hana biashara wala uwekezaji wowote yaani ni chawa kama akina Baba Levo, tena wenzake wanamshinda akili, haji anaoa wanawake wanamjua ni janja janja wanaachana nae haji atabaki kama kumbukumbu ya mahusiano kwa jamii,
Wanafukuliwa sana mtaroKila mwanamke akiingia leba wakati wa kupush lazima haja kubwa na ndogo zimtoke!! Kaulizeni wakunga watawapa habari.
Ni mkeo tu sio wote wanakunya we kakaKila mwanamke akiingia leba wakati wa kupush lazima haja kubwa na ndogo zimtoke!! Kaulizeni wakunga watawapa habari.
Kama mkeo aliingia leba wakati wa kupush akatoa haja kubwa,basi ujue huyo anapenda michezo ya nyuma.Kama si wewe unamfanyia basi tambua kabisa kuna wanaume wenzio wanakusaidia.Kila mwanamke akiingia leba wakati wa kupush lazima haja kubwa na ndogo zimtoke!! Kaulizeni wakunga watawapa habari.
Et Diamond anamla rushy , dhibitisha basi mdogo wake warumi , tutammisi Sana R.I.P warumi🤭[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkewe keshamchakaza huko nyuma,badala apige kimya anakuja kujiaibisha hapa.Au hakujua kuwa wanaotoa haja ni wale huko nyuma kupo hoiNi mkeo tu sio wote wanakunya we kaka
Itakuwa hakujua labda😂😂Mkewe keshamchakaza huko nyuma,badala apige kimya anakuja kujiaibisha hapa.Au hakujua kuwa wanaotoa haja ni wale huko nyuma kupo hoi
Ndio sababu wanaoa na kuacha wengi...Na ndo maana katika comments za mahusiano nikaandika mwanaume mke wako mwema utampata kwa muumba wako. Ni unatakiwa usali ama kuswali haswa. Ukiwa wataka kutafuta mke ama kuoa jitenge na uchafu kwanza afu muombe Mungu akupe mke.
Ukiwa na imani utampata. Tatizo wanaume wengi mnatumia sana akili zenu wenyewe na macho,mioyo idanganyayo. Naonaga wanawake weng ndo wanaswali ama sali kuolewa na mume mwema lakin wanaume hamjishughulishi mkiamini wanawake wako wengi hamuwezi kukosa mke wa kuoa.
Msichojua wanawake weng saiv ni masecretary wa kuzimu. Anaweza hata kuigiza wife material ili umuweke ndani. Ukishamuweka unaanza kuisoma. Lakin laiti kama kungekuwa na sala ama swala involved..naamin Mungu hawezi kukuchagulia mke mwovu akati anajua wewe kijana wake ni mwema sana.
Lets pray to get eternal spouses. Tutakaozeeka nao kwa mapenzi katika hali zote. Lakin kama unaamin utampata kanisani kwamba ndo mwema..ombe haya, kama unaamini utampata kitambaa cheupe ombe haya...dont trust your heart too much..it can deceive you.