Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Wewe ndio umeongea point...

Kuna katabia kakuaminishana ujinga baina ya wapumbavu...

Hivi watu wanaujua uchungu wa kuzaa au wanausikia tu...katika hali kama ile...usishangae mtu kutoa hata kinyesi...so sio wote yanapowatoka...ni watu wa michezo hiyo...
 
Wanasema ukila uporo pia inachangia hiyo Hali ya kunya tena kinyesi kigumu haswaaa sio kilaini,[emoji38][emoji38][emoji38]Sijawahi skia mtu kajifungua kajisaidia kinyesi kilaini mara nyingi kinakua kigumu tena kidogo Sana sio kingi
Mimi bwana nakua nakula sana uporo na kinatoka kidogo mnoo kigumu sio kilaini maana pale unavyojikamua ni km unajisaidia hvi sio rahisi kitoke kinyesi laini ndo kwanza naskia hapa mtu anatoa kinyes laini
 
Labda alikunywa mtori
 
Ila Manara yale mapua, ni kama ya yule mnyama pendwa, akihema kinatokea kimbunga, na mdomo kama dekio
Manara watu wanamstahi tuu Kwa sababu ni mlemavu , Ila jamaa ana maneno ya shombo Sana ..watu wakiamua wamwandame accordingly itakuwa hatar Sana
 
Hivyo visichana miaka 16 to 33 umfanye chochote atakucheat tu

1) Mpige bao kumi za dk 80 ,80 Na umkojolesh na mwagia ndan

2) mpe bilion 100 kila wiki na pesa ya matumizi pembeni

3) mpeleke dubai, Qatar, wingereza, marekani na popote duniani

Yaani hivyo vyote kwa pamoja umpatie atakucheat tu hawana maana hao kale kajamaa hakana tatzo lolote hizo mbuzi za umri wa miaka kuanzia 16-33 wanataka kila mboe wahijaribu cha ajabu hata uwe una mkaza vizuri kiasi gani na kumpa pesa nyingi kiasi gani Na hata uwe unamuonekano mzuri kiasi gani yaani yeye ataenda na kwenda kufanya chochote popote ila zikifikaga miaka 39 kuelekea 45 ndio matako yao yanapoliaga mbwata yaani hata kama hauna kitu zinataka ndoa tu zitulie.

Kuna mtoto wa kiarabu anakuja gheto mpaka leo na pesa yeye ndio anaacha tena za kutosha, mme wake ana kila kitu yaani sijajua tu kwenye urijali kama anao ila kuhusu mali na chochote anapata na anadai nimbebeshe ujauzito na mm sipo tayari kuyakosea manii yangu
 
Na hako kabint alikokaoa na kukaacha manara ..kanaonekana ni kachafu kalikokosa hayaa kabisa...wala hajutii...na jamii chafu inamuunga mkono...
 
Watu hawajiulizi kwa nini kina MO na mbwembwe zao mtandaoni lkn hawawaoneshi wake zao, hata kwenda nao tu kwenye maevents ambayo yana media attention.

Mkeo akae nyumbanj apike, nae ni binadamu, akienda huko akakutana na vibopa wakamtongoza au akawapenda unategemea nn kitafuata? Yy pia ni binadam.
 
Kwa hivyo mwanamke hatakiwi kulala hotelini? Unamtangazia mtu kuwa ni muasharati kwa kuwa tu kaondoka nyumbani kwake na kwenda kulala hotelini? Unajua kuwa wanandoa kugombana sometimes ni jambo la kawaida na kukaa mbali kwa siku chache inasaidia kupunguza makali ya walichogombania? Hivi ni kwa nini usifikirie kuwa labda wamegombana kidogo na wife kaamua kulala kwengine lakini unatangaza kuwa wife wake ni mzinifu? Huu si uungwana, sio kila mwanamke akienda kulala hotelini huwa inamaanisha anakwenda kusex na mtu.
 
Endelea kulala, utakula unachoota
 
Swadakta
 
Unaujua uchungu wa kutafuta pesa na kuhonga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…