Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa.
Nina miaka 76 na nilichojifunza ni kwamba unaweza kumfanyia yote mwanamke - uliyoyataja hapa na mengineyo lakini bado ukachapiwa tu. Tena hawa wa kisasa hawa ndo kabisaa. Unafanya yote haya halafu mkeo anakuja kuliwa na boda, shamba boy au mangi wa hapo jirani. Ukiuliza eti mazoea au matani.....na kusifiwa sifiwa...anti leo umependeza sana...anti umenoga....
Ila uliyosema yanasaidia kupunguza dhahma tu ila nijuavyo mimi kuchapiwa kuko pale pale!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriyaNdani