Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Inashangaza sana na hapo wamesikia story tuu hawajawahi kuingia leba...hzi story za kusikia sikia hizi ni shidaa...kuna mtu hapo juu anasema mtu akipush lazima anye...How??? Labda kama alikua amekula na ndani ya masaa 12 b4 uchungu hakupata choo so uchungu unapoanza hapo ndo possibility ya kunya ni kubwa...lakini from no where tu unye labda una tatizo kubwa kwenye sphinter masozi zako...
Na wengi inawatokea sababu lazima ale chakula
 
Huyo ndo kanunua range!!! wanawake tuache kuzalilisha wanaume kuwapa mizigo ambayo ni ngumu kubeba, kumsingizia kijana wa watu kanunua range akitekwa na majambazi wakijuwa pesa anazo wakati hana?
Au kwenye ndoa inabidi ujipendekeze hivyo mme umpaishe mawinguni?
Afu yeye mme anajisikiaje kusingiziwa kanunua range?

Rip ruge[emoji6]
Zama anavyoenda kumpaisha mumewe, ila mie naona bora anampa heshima mbele ya jamii.
 
Na wengi inawatokea sababu lazima ale chakula
Kwa sbb kitendo cha uchungu kuuma na kupata hisia za kupush huwa ni hisia za kunya na ukimwambia nesi wakati huo nataka kunya atakwambia kunyaa.. so kama ulishiba ndindi wakati unasukuma unasukama na kimba...but ni mara chache sana....so watu wanatofautiana kuna wale ambao yatoka tuu non stop ndo tabu iko hapo..kuanzia uchungu umeanza hajapata hata hisia za kupush ni mavi tuu yanatangulia hawezi kuyacontrol hao ndo wa michezo michafuu..

Otherwise respect women no mara waaaaa
 
Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa.

Nina miaka 76 na nilichojifunza ni kwamba unaweza kumfanyia yote mwanamke - uliyoyataja hapa na mengineyo lakini bado ukachapiwa tu. Tena hawa wa kisasa hawa ndo kabisaa. Unafanya yote haya halafu mkeo anakuja kuliwa na boda, shamba boy au mangi wa hapo jirani. Ukiuliza eti mazoea au matani.....na kusifiwa sifiwa...anti leo umependeza sana...anti umenoga....

Ila uliyosema yanasaidia kupunguza dhahma tu ila nijuavyo mimi kuchapiwa kuko pale pale!

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriyaNdani
Umesema kweli hapo kwenye kusifia; mwanamje akisifiwa sifiwa akili zinamtoka kabisa na hapo ndipo anapoliwa
 
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.

Je Haji anachapiwa?

Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.

Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
Midude Ile inataka pumzi na pesa
 
Kwa sbb kitendo cha uchungu kuuma na kupata hisia za kupush huwa ni hisia za kunya na ukimwambia nesi wakati huo nataka kunya atakwambia kunyaa.. so kama ulishiba ndindi wakati unasukuma unasukama na kimba...but ni mara chache sana....so watu wanatofautiana kuna wale ambao yatoka tuu non stop ndo tabu iko hapo..kuanzia uchungu umeanza hajapata hata hisia za kupush ni mavi tuu yanatangulia hawezi kuyacontrol hao ndo wa michezo michafuu..

Otherwise respect women no mara waaaaa
Ndio mana nina kila sababu ya kumheshimu Mama yangu[emoji120]
 
Back
Top Bottom