AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Wewe ndio umeongea point...Kwa sbb kitendo cha uchungu kuuma na kupata hisia za kupush huwa ni hisia za kunya na ukimwambia nesi wakati huo nataka kunya atakwambia kunyaa.. so kama ulishiba ndindi wakati unasukuma unasukama na kimba...but ni mara chache sana....so watu wanatofautiana kuna wale ambao yatoka tuu non stop ndo tabu iko hapo..kuanzia uchungu umeanza hajapata hata hisia za kupush ni mavi tuu yanatangulia hawezi kuyacontrol hao ndo wa michezo michafuu..
Otherwise respect women no mara waaaaa
Kuna katabia kakuaminishana ujinga baina ya wapumbavu...
Hivi watu wanaujua uchungu wa kuzaa au wanausikia tu...katika hali kama ile...usishangae mtu kutoa hata kinyesi...so sio wote yanapowatoka...ni watu wa michezo hiyo...