Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Urahisi wa Ndoa za kiislamu ndiyo unaosababisha zisiwe na thamani maana kuacha au kuachwa ni simple tu...........

NB:MANARA ajitathmini kama anaweza kuwa na wake zaidi ya mmoja na akafuata sheria ya Dini yao inavyotaka na siyo kutaka sifa za kijinga tu
Haji ht Mmoja peke Ake hamuwezi ,Hajj mpigaji ,kisirani na ana inferiority complex na Hali yake ilivyo,yule rubyna Kwa kua tu kachoka naye alikua anatafuta pakutulia maana walikua wapenzi wakaachana wamerudiana Ndo kuoana
Anaamini Kwa kua ana pesà,fame Ndo anamchukulia mke km bidhaa Kwa attitude ya Hajj ni ngumu kuishi na mke km tu watu wa kawaida wanakosana nae
 
Ila rushyna mkorofi na kibri sana bwana
Sio wife material kabisa.
Kiafrica ukitaka ndoa na hyo ndoa idumu lazima mwanamke u surrender baadhi ya haki zako...na pia kutimiza wajibu flani flani.
Tena ashukuru hata dubai alikuwa anapelekwa...wengine hata kwenye chips za mgosi hapelekwi na bado matusi na kipigo juu.
 
Eeeeeh mlongooo magono aga mgosi ivya ngati mdalaa, dunia yene yimaliki tangu kandaiiii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
chenjelaayiiiii!!!!!
weenga!
ila mwenyee baba yula ngati kuliyunga lyunga weeengaa!
Ah bwana weeee hata nee mbwiiiiitu weee!
haviii naaah , pamloooooooomooooo!
Yenyee ndoooowa hii au ligeege tuu!
gegelemahiiiii penyee apa!
weeenga!
 
Halafu nyie mnatutenga mjue.... tuambieni hyo libolo inayochangiwa na mtu na mkewe ni ya nanii
 
Haji ht Mmoja peke Ake hamuwezi ,Hajj mpigaji ,kisirani na ana inferiority complex na Hali yake ilivyo,yule rubyna Kwa kua tu kachoka naye alikua anatafuta pakutulia maana walikua wapenzi wakaachana wamerudiana Ndo kuoana
Anaamini Kwa kua ana pesà,fame Ndo anamchukulia mke km bidhaa Kwa attitude ya Hajj ni ngumu kuishi na mke km tu watu wa kawaida wanakosana nae
hawezekaniki wewe!
Mwanaume anayeongea vile wapi na wapi!
sio kweli!
 
Umeonaaa kuna clip inasambaa anasema ataita press na kuanza kutoa uchafu na mabayaa ya rushy, ana sahau na yeye anayo yake, cha ajabu wote wanaliwa na mtu m1. Woiiiiiiiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpeni khanga manara avae
 
Mastar wametuchosha na kuanika wapenzi wao wanajifanya sisi tuonekane hatujawahi pendwa.
Shina shida na manara ni mwananchi mwenzangu ila hiyo tabia ya kuanika wake hapana.
Leo kaandika caption ndefu kama mnara wa babeli, akimsifia mke mkubwa.wacha achapiwe.

Hamo na kajala kha! Walijuwa kutuumiza wako wapi?

Naweza kuonekana mnafiki na sipingi ila mtu mwingine ninaemsubiri kwa hamu asage meno ni zamaradi, mme anatundikwa barabarani? Unajinunulia gani urithi wa ruge unatudanganya umenunuliwa? Wadada wa daslam hawajawahi tuangusha siku ipo ilo bango ulilotundika jijini dar utalijutia.
Sema mme wa zamaradi hana hela angekuwa nazo wadada wa mjini wasingechelewa kutuvunja mbavu.
Wengi wao Wana stress ,wayafanyayo ni kujifariji tu.
 
Huu msemo unamaana kubwa hata wasingetoa wazungu.
Tafakari tu vizuri!
'Kula kwa jasho' haina ya kwamba ukiwa unakula jasho lazima litoke.

Mkuu, wanawake ndio wanasababisha familia zinatengana, watu kujiua na kuuana, kiufupi maisha kuwa magumu kwa sababu wengi wao ni malimbukeni.

Imagine unapenda mwanamke, unamuhudumia kila kitu, halafu anaenda kwa wahuni. Cha ajabu anabeba kile unachompa anaenda kuhonga. [emoji22]
Kwanini umpende mwanamke,?
 
Back
Top Bottom