cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Bora wakae kmyaa tyuuh.Hahahah wanyamaze yatapitaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wakae kmyaa tyuuh.Hahahah wanyamaze yatapitaa
Haji ht Mmoja peke Ake hamuwezi ,Hajj mpigaji ,kisirani na ana inferiority complex na Hali yake ilivyo,yule rubyna Kwa kua tu kachoka naye alikua anatafuta pakutulia maana walikua wapenzi wakaachana wamerudiana Ndo kuoanaUrahisi wa Ndoa za kiislamu ndiyo unaosababisha zisiwe na thamani maana kuacha au kuachwa ni simple tu...........
NB:MANARA ajitathmini kama anaweza kuwa na wake zaidi ya mmoja na akafuata sheria ya Dini yao inavyotaka na siyo kutaka sifa za kijinga tu
Ila rushyna mkorofi na kibri sana bwanaHaji ht Mmoja peke Ake hamuwezi ,Hajj mpigaji ,kisirani na ana inferiority complex na Hali yake ilivyo,yule rubyna Kwa kua tu kachoka naye alikua anatafuta pakutulia maana walikua wapenzi wakaachana wamerudiana Ndo kuoana
Anaamini Kwa kua ana pesà,fame Ndo anamchukulia mke km bidhaa Kwa attitude ya Hajj ni ngumu kuishi na mke km tu watu wa kawaida wanakosana nae
Rushy aolewe na mzungu tu ndo wanaweza mambo ya 50/50Bora wakae kmyaa tyuuh.
chenjelaayiiiii!!!!!Eeeeeh mlongooo magono aga mgosi ivya ngati mdalaa, dunia yene yimaliki tangu kandaiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu nyie mnatutenga mjue.... tuambieni hyo libolo inayochangiwa na mtu na mkewe ni ya naniichenjelaayiiiii!!!!!
weenga!
ila mwenyee baba yula ngati kuliyunga lyunga weeengaa!
Ah bwana weeee hata nee mbwiiiiitu weee!
haviii naaah , pamloooooooomooooo!
Yenyee ndoooowa hii au ligeege tuu!
gegelemahiiiii penyee apa!
weeenga!
hawezekaniki wewe!Haji ht Mmoja peke Ake hamuwezi ,Hajj mpigaji ,kisirani na ana inferiority complex na Hali yake ilivyo,yule rubyna Kwa kua tu kachoka naye alikua anatafuta pakutulia maana walikua wapenzi wakaachana wamerudiana Ndo kuoana
Anaamini Kwa kua ana pesà,fame Ndo anamchukulia mke km bidhaa Kwa attitude ya Hajj ni ngumu kuishi na mke km tu watu wa kawaida wanakosana nae
Mpeni khanga manara avaeUmeonaaa kuna clip inasambaa anasema ataita press na kuanza kutoa uchafu na mabayaa ya rushy, ana sahau na yeye anayo yake, cha ajabu wote wanaliwa na mtu m1. Woiiiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wanadai engine inakula oil..
Yule ndo kiboko, huyo bi mdogo akasome upya🤣 tena danga internationalDuh hata Ruby?
Duhh ila atakuwa ameamua kutulia sasa na manaraYule ndo kiboko, huyo bi mdogo akasome upya🤣 tena danga international
Inaonekana ameamua kutulia, Ila Kwa mume ndo kabugi, mume kisirani na gubu vile🤣 akaze Moyo.Duhh ila atakuwa ameamua kutulia sasa na manara
Tatizo anaomba mitaro na dida ndo alichokimbia kwa meyaInaonekana ameamua kutulia, Ila Kwa mume ndo kabugi, mume kisirani na gubu vile🤣 akaze Moyo.
Mi nilisema Haji mindoa aoane na Dida mindoa labda watatulia.
Kumbe Meya nae anapenda kupitia mlango wa uwani?!!!😳😳😳Tatizo anaomba mitaro na dida ndo alichokimbia kwa meya
Wengi wao Wana stress ,wayafanyayo ni kujifariji tu.Mastar wametuchosha na kuanika wapenzi wao wanajifanya sisi tuonekane hatujawahi pendwa.
Shina shida na manara ni mwananchi mwenzangu ila hiyo tabia ya kuanika wake hapana.
Leo kaandika caption ndefu kama mnara wa babeli, akimsifia mke mkubwa.wacha achapiwe.
Hamo na kajala kha! Walijuwa kutuumiza wako wapi?
Naweza kuonekana mnafiki na sipingi ila mtu mwingine ninaemsubiri kwa hamu asage meno ni zamaradi, mme anatundikwa barabarani? Unajinunulia gani urithi wa ruge unatudanganya umenunuliwa? Wadada wa daslam hawajawahi tuangusha siku ipo ilo bango ulilotundika jijini dar utalijutia.
Sema mme wa zamaradi hana hela angekuwa nazo wadada wa mjini wasingechelewa kutuvunja mbavu.
Wale wale used wa Karyakoo na magomenPicha za mke mdogo wana jf
tumthaminishe
Kwanini umpende mwanamke,?Huu msemo unamaana kubwa hata wasingetoa wazungu.
Tafakari tu vizuri!
'Kula kwa jasho' haina ya kwamba ukiwa unakula jasho lazima litoke.
Mkuu, wanawake ndio wanasababisha familia zinatengana, watu kujiua na kuuana, kiufupi maisha kuwa magumu kwa sababu wengi wao ni malimbukeni.
Imagine unapenda mwanamke, unamuhudumia kila kitu, halafu anaenda kwa wahuni. Cha ajabu anabeba kile unachompa anaenda kuhonga. [emoji22]
Duuh, sasa akisoma tena hicho alichoandika[emoji15][emoji15][emoji15]Povu km povu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sopee ana haha huyuuu, lolView attachment 2477227