Hujanielewa, soma bandiko langu hapo juu, nimesema kimsingi Manara yawezekana ameonewa na TFF, lazima uwe na critical thinking skills kwenye hili sakata, sikuwah kuwa upande wowote , ila Manara aidha anataka aonekane mbabe au anawashaur wabaya!Ulitaka waweke mdahalo? Siku TFF wanatoa hukumu si walikuja pekeyao mbona haukuhoji mtuhumiwa yupo wapi?
Niletee kanuni ya CAF hapa inayoonyesha directly kuwa, Simba Sc ilitakiwa kulipa kiasi kile baada ya kuwasha moto uwanjani.Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?
Yap, huu Ni mfano mzuri, na si yule tu, alimjumisha na Mo ndani humo, lakin wamekaa kimya mpaka leoHuyu Jamaa alimtukana Yule Dada wa Simba kale kadada kalikaa kimyaaaa bila hta kujibu ...Alijua Manara Ni mtu wa Aina gan
Angekaa kimya akate rufaa kimya kimya
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Mabosi wake GSM wana lao jambo.Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
Manara yuko sahihi tungejuaje yaliyokuwa yamefichwa ambayo karia alitamka? Kamati ilificha alichotamka manara na kuonekana yeye ndo mkosaji, kamati ingeyasema pia aliyotamka karia pengine aya yasingejitokeza lakini manara kaumia na kilichokuwa kinaendelea uku nje kwa watu kuaminishwa kuwa yeye ndo kamtukana karia bila sababu kibinadamu akuna anayeweza kukubali ujinga kama huoWakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
😄😄 Samahani Sana mkuu 😄😄Futa kauli kaka mkubwa
Rudi kwenye mada acha wenge zako, Kuna mahala apo katajwa Mo kwenye kesi ya manara?Mabosi wake GSM wana lao jambo.
Huwezi ajiri mtu kwa ajili ya kutukana watu.
Manara amekuwa akimtukana sana Mo na kumzushia mambo mengi ili kuharibu biashara zake,na hili tunajua anatumwa na waajiri wake.
Mchengerwa ni Yanga mzuri tu na pia ni familia ya Samia, na vizee vya Yanga vinataka kwenda kwa Rais Samia! Patamu hapoNa Mchengelwa ni Yanga mwenzake kumbuka hilo......
Una uhakika gani hayo maneno yalisemwa na Karia?Manara yuko sahihi tungejuaje yaliyokuwa yamefichwa ambayo karia alitamka? Kamati ilificha alichotamka manara na kuonekana yeye ndo mkosaji, kamati ingeyasema pia aliyotamka karia pengine aya yasingejitokeza lakini manara kaumia na kilichokuwa kinaendelea uku nje kwa watu kuaminishwa kuwa yeye ndo kamtukana karia bila sababu kibinadamu akuna anayeweza kukubali ujinga kama huo
Ulisikiliza siku TFF wanatoa hukumu wanadai kwamba Haji alisababisha ya machozi yakapigwa na vurugu wewe uliona au kusikia?Kwani kulikuwa na tukio la kivita pale uwanjani?
Kuna mahusiano gani hapo au umevuta kitu kikaliNiletee kanuni ya CAF hapa inayoonyesha directly kuwa, Simba Sc ilitakiwa kulipa kiasi kile baada ya kuwasha moto uwanjani.
Ili na mimi nikuonyeshe kanuni inayosema Manara anatakiwa kulipa 20M.
Ile sheria ya tifuatifua inasema faini ya mil 3 hadi Mil 20Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?
Karia ni Mtoto wa Mwendazake sasa anapaswa kwenda zake ila all in all Karia, Manara, Kitenge wote Mwajiri wao mmoja wanatofautiana vyeo tuHuyu mwamba sijui anatafuta Nini hasa!
Wewe una uhakika gani Kama maneno yanayosemwa yalitamkwa na manara ni kweli?Una uhakika gani hayo maneno yalisemwa na Karia?