mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
- Thread starter
- #41
Hujanielewa, soma bandiko langu hapo juu, nimesema kimsingi Manara yawezekana ameonewa na TFF, lazima uwe na critical thinking skills kwenye hili sakata, sikuwah kuwa upande wowote , ila Manara aidha anataka aonekane mbabe au anawashaur wabaya!Ulitaka waweke mdahalo? Siku TFF wanatoa hukumu si walikuja pekeyao mbona haukuhoji mtuhumiwa yupo wapi?
Kumbuka sakata lake na Simba, limuexpose Mo Dewji na Barbara kwa scandal nyingi, lakin till now hawakumjibu Wala kujibizana naye!
Ukweli haji amepaniki Sana kiasi Cha kuonekana mjinga hadharani