Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Ulitaka waweke mdahalo? Siku TFF wanatoa hukumu si walikuja pekeyao mbona haukuhoji mtuhumiwa yupo wapi?
Hujanielewa, soma bandiko langu hapo juu, nimesema kimsingi Manara yawezekana ameonewa na TFF, lazima uwe na critical thinking skills kwenye hili sakata, sikuwah kuwa upande wowote , ila Manara aidha anataka aonekane mbabe au anawashaur wabaya!

Kumbuka sakata lake na Simba, limuexpose Mo Dewji na Barbara kwa scandal nyingi, lakin till now hawakumjibu Wala kujibizana naye!

Ukweli haji amepaniki Sana kiasi Cha kuonekana mjinga hadharani
 
Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?
Niletee kanuni ya CAF hapa inayoonyesha directly kuwa, Simba Sc ilitakiwa kulipa kiasi kile baada ya kuwasha moto uwanjani.

Ili na mimi nikuonyeshe kanuni inayosema Manara anatakiwa kulipa 20M.
 
Huyu Jamaa alimtukana Yule Dada wa Simba kale kadada kalikaa kimyaaaa bila hta kujibu ...Alijua Manara Ni mtu wa Aina gan

Angekaa kimya akate rufaa kimya kimya

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Yap, huu Ni mfano mzuri, na si yule tu, alimjumisha na Mo ndani humo, lakin wamekaa kimya mpaka leo
 
Mmmh....kama asinge adhibiwa kwakile alichofanya mbele ya viongozi wa nchi....
Kiburi kikizidi mwisho wake mmbaya,kuna sehemu pesa inaweza isikutoe.Angekuwa na hekima na busara asingefikia hapa.
Kabisa mkuu
 
Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!

Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!

Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?

Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?

Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?

View attachment 2303446View attachment 2303451
Mabosi wake GSM wana lao jambo.
Huwezi ajiri mtu kwa ajili ya kutukana watu.

Manara amekuwa akimtukana sana Mo na kumzushia mambo mengi ili kuharibu biashara zake,na hili tunajua anatumwa na waajiri wake.
 
Manara yuko sahihi tungejuaje yaliyokuwa yamefichwa ambayo karia alitamka? Kamati ilificha alichotamka manara na kuonekana yeye ndo mkosaji, kamati ingeyasema pia aliyotamka karia pengine aya yasingejitokeza lakini manara kaumia na kilichokuwa kinaendelea uku nje kwa watu kuaminishwa kuwa yeye ndo kamtukana karia bila sababu kibinadamu akuna anayeweza kukubali ujinga kama huo
 
Rudi kwenye mada acha wenge zako, Kuna mahala apo katajwa Mo kwenye kesi ya manara?
 
Manara yuko sahihi tungejuaje yaliyokuwa yamefichwa ambayo karia alitamka? Kamati ilificha alichotamka manara na kuonekana yeye ndo mkosaji, kamati ingeyasema pia aliyotamka karia pengine aya yasingejitokeza lakini manara kaumia na kilichokuwa kinaendelea uku nje kwa watu kuaminishwa kuwa yeye ndo kamtukana karia bila sababu kibinadamu akuna anayeweza kukubali ujinga kama huo
Una uhakika gani hayo maneno yalisemwa na Karia?
 
Kwani kulikuwa na tukio la kivita pale uwanjani?
Ulisikiliza siku TFF wanatoa hukumu wanadai kwamba Haji alisababisha ya machozi yakapigwa na vurugu wewe uliona au kusikia?
 
Niletee kanuni ya CAF hapa inayoonyesha directly kuwa, Simba Sc ilitakiwa kulipa kiasi kile baada ya kuwasha moto uwanjani.

Ili na mimi nikuonyeshe kanuni inayosema Manara anatakiwa kulipa 20M.
Kuna mahusiano gani hapo au umevuta kitu kikali
 
Kuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?
Ile sheria ya tifuatifua inasema faini ya mil 3 hadi Mil 20
 
Hayaaaq
Screenshot_20220725-174626_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom