Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

Sasa kuambiwa Yanga wate wana mavi ndio apaniki hivyo. Si angechukulia utani tu?
 

Nswaambia hakuna atakaemuweza Haji…
Kuna Jitu kuuubwa liko nyuma yake…
Kina Wambura walifungiwa now wapo Kimyaa yeye anapiga Kifua na Inawezekana amehakikishiwa aendelee kuongea atakavyo[emoji40][emoji40][emoji1787][emoji12][emoji12]
 
Hakuna mahali rais wa TFF amepewa haki ya kutukana watu
 
Haji anataka huruma, jambo la kisheria angelimaliza kisheria kuna mamlaka za juu zaidi ya TFF Angekata rufaa tu basi. Binafsi sidhani kama hii itasaidia kitu zaid ya kuchochea moto
 
Sheria zinasema ndani ya Massa 72,muadhibiwa inabidi apate nakala ya hukumu yake Ila mpk sasa hajapewa,na ameenda kuomba nakala ya hukumu Mara Tatu bila kupewa
ulikua nae wakati anaenda kufata hizo nakala au unaropoka tu ili uonekane
 
Haji anataka huruma, jambo la kisheria angelimaliza kisheria kuna mamlaka za juu zaidi ya TFF Angekata rufaa tu basi. Binafsi sidhani kama hii itasaidia kitu zaid ya kuchochea moto
Unakata rufaa ikiwa unaomba nakala ya hukumu na hupewi unakata rufaa vp? Labda kuna njia mpya ya kukata rufaa bila nakala ya hukumu tuambie Ili tumlaumu jamaa
 
Wewe ndo ujui ukiamini mamlaka ni kuamuru na kuongoza bila ya sheria
Sheria gani imevunjwa?
Iweke hadharani hapa uthibitishe usemi wako!

Pili, Mimi siko upande wowote, ishu Ni kuwa Manara angefuatilia kisheria zaidi na sio kuzungumza mambo mengi yanayoenda kuchochea hukumu yake
 
Manara hana adabu. Anatakiwa kufungiwa maisha asijihusishe na masuala ya mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…