Wewe umeomba tukuonyeshe kipengele cha kanuni kilichotumika kumhukumu Manara miaka miwili &20M na ukasema tusipoleta basi haikuwa haki, na mimi nimekuomha uniletee kipengele cha kanuni kilichotumiwa na CAF kuipa Simba Sc faini ile baada ya kuwasha moto uwanjani, maana zote hizi ni phenomenon za kimpira. Ile ya CAF ilionekana sawa bila kuomba kanuni, ila hii ya Manara ndio lazima tuweke wazi kipengele kilichotumiwa??Kuna mahusiano gani hapo au umevuta kitu kikali
Huna unachojua,toa kwanza huo mshale uliopo nyuma ya matrqko yakoWakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
Itakuwa hunijui humu ndani,huwa sina uvumilivu kwa mtu mjinga kama huyoMbona umemjibu ivo ungemjibu kwa hoja ingependeza.
Amesema leo kwenye press, sikiliza dk 10 zamwishoWapi aliposema ameomba nakala ya hukumu akanyimwa?
Wewe ni moja kati ya watanzania wachache wenye akili kubwa.. umegundua jambo nililoligundua way back toka anaingia Simba SC... apart from all that upon this case! Manara prove himself how weak he is.. he's totally useless mess..Huyu anatumia ulemavu kuji-defend hata kama ana makosa hataki kukubali kisa ni Albino aonewe huruma.
Hauja wahi omba msamaha sehemu unajua hauja kosea ili tu mambo yaende?Haji anaweweseka sana. Pres ya leo ndio ameharibu zaidi.
Kwa nini hapo nyuma alihangahika kumtafuta Karia kwa lengo kuomba MSAMAHA?.
Unataka tuamini maneno yako?Press ya maneno yake ndiyo inakuaminisha hivyo? Hayo ni maneno ya kujidefend tu, lakini kwa Shirikisho lolote lile duniani, angekula ban tu! Mengine yote ni porojo.
Akili ndogo huwezi nielewa nme Ku ignoreWewe umeomba tukuonyeshe kipengele cha kanuni kilichotumika kumhukumu Manara miaka miwili &20M na ukasema tusipoleta basi haikuwa haki, na mimi nimekuomha uniletee kipengele cha kanuni kilichotumiwa na CAF kuipa Simba Sc faini ile baada ya kuwasha moto uwanjani, maana zote hizi ni phenomenon za kimpira. Ile ya CAF ilionekana sawa bila kuomba kanuni, ila hii ya Manara ndio lazima tuweke wazi kipengele kilichotumiwa??
Ila kwakuwa akili zako hazifikiri nje ya box, ulikuwa ni vigumu kunielewa.
Ndio identity yenu sasa, huyu mtu alipaswa kuwa milembeManara yuko sahihi tungejuaje yaliyokuwa yamefichwa ambayo karia alitamka? Kamati ilificha alichotamka manara na kuonekana yeye ndo mkosaji, kamati ingeyasema pia aliyotamka karia pengine aya yasingejitokeza lakini manara kaumia na kilichokuwa kinaendelea uku nje kwa watu kuaminishwa kuwa yeye ndo kamtukana karia bila sababu kibinadamu akuna anayeweza kukubali ujinga kama huo
Wapumbavu pekee hawajamuelewa Manara.Wakuu wapenzi wa soka na haki za binadamu hili linawahusu!
Psychologically, Manara inaonekana ana jaziba juu ya adhabu aliyopewa, yawezekana ameonewa lakin professionally hatumii hekima, Ni kama kuna mtu (ambaye anamaslahi binafsi na TFF) Yuko nyuma yake anampampu, maana pengine anajiona anawaexpose Karia na TFF lakini kwa msomi anaonekana anaropoka!
Kwa nini anataka attention ya watu kwa social media na si kufuata utaratibu wa kukata rufaa kupinga maamuzi?
Kwanini pamoja na maamuzi yaliyotolewa bado anatoa kauli za kuwa against nayo kana kwamba TFF na Manara mkubwa Ni Manara?
Kwanini Manara badala ya kutoa misimamo itakayoenda kuzima Moto lakini anatokwa na maneno ya kuukoleza Moto? Ni nani aliye nyuma ya pressure aliyonayo Manara?
View attachment 2303446View attachment 2303451
Makosa gani hayo, acha ubwege weweHuyu anatumia ulemavu kuji-defend hata kama ana makosa hataki kukubali kisa ni Albino aonewe huruma.
Pole sana kwa kutogundua kuwa shida ipo kichwani kwako.Mimi nlikua namuona ana tatizo ila kumbe TFF ina shida
Kanuni zinasemaje? Kwanini utake hukumu itolewe upendavyo wewe na si kutafuta kanuni/sheria zinaoongoza mpira wetu zinavyosema! Tuambie wapi taratibu zimekiukwaKuomba radhi haiwezi kua sababu ya kumuhukumu mtu na kanuni ambazo hazija sajiliwa, haya niambie tangu uanze kufatilia mpira nani kasha hukumiwa 20M ? Kuna kosa kubwa zaidi ya kugomea mechi mbona hawakupewa faini kubwa kiasi hicho?
Akamtukana Prisca Kishamba wa Clouds pia, bila kusahau Shaffih na Maulid Kitenge! Aliwahi kuwaita wachezaji wa Yanga takataka pia!Yap, huu Ni mfano mzuri, na si yule tu, alimjumisha na Mo ndani humo, lakin wamekaa kimya mpaka leo
Yalipigwa baada ya mchezo, mashabiki walivamia uwanja. Matukio kama hayo huwa hamuoneshwi kwenye tv ili kulinda brand ya ligi yetu.Ulisikiliza siku TFF wanatoa hukumu wanadai kwamba Haji alisababisha ya machozi yakapigwa na vurugu wewe uliona au kusikia?
TFF wamekanusha kwa maandishi madai ya Haji kuwa si kweli alichozungumza kwenye press yake. Wewe unataka tumwamini nan kati yake na TFF?Unakata rufaa ikiwa unaomba nakala ya hukumu na hupewi unakata rufaa vp? Labda kuna njia mpya ya kukata rufaa bila nakala ya hukumu tuambie Ili tumlaumu jamaa
Ndio maana haji anaomba serikali iunde tume huruMkuu, kwenye hili sakata Ni ngumu kuhukumu bila kubalance, yawezekana TFF wanamatatizo ya kiutendaji, lakin nani ajuaye kuwa hayo yote aliyoyasema Manara Ni kweli ? Maana TFF washakanusha .
Kanawe...unatembea na kinyesi muda wote.....na unaamini bado una akili.Siku ukipata akili utajihurumia