Wenzako wanaingiza hela nyingi kwa kulialia, na followers milioni 2 japo naamin hata wewe pamoja na kwamba unamkebehi ila umemfollow ndio mana unajua habari zake, wewe umeingiza sh ngapiHAJJI analialia huko natafuta huruma ya watu.... KIBOKO ya HAJJI NI Jerry tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wanajuana wale japo mmoja akitaniwa kidogo anakuza mambo weee na kutafuta huruma kila kona.Wote wajinga tu,pipa na mfuniko
Kwa hiyo ndio hujaelewa ama?Kwa hiyo?
Manara nimegundua ni kama CCM. Anataka kutukana wenzake na kuwaita majina yote mabaya ila yeye akiambiwa Ukweli anakimbilia jinai na kuomba msaada kwa watu wasioelewa. Angalau na sisi kwasiku hizi mbili tumepumzika kutokana na kejeli na kshfa za Manara. Muro karibu tena mjini.Hakika wanajuana wale japo mmoja akitaniwa kidogo anakuza mambo weee na kutafuta huruma kila kona.
Cha ajabu leo hii kila mmoja anaona Manara kaonewa.Manara nimegundua ni kama CCM. Anataka kutukana wenzake na kuwaita majina yote mabaya ila yeye akiambiwa Ukweli anakimbilia jinai na kuomba msaada kwa watu wasioelewa. Angalau na sisi kwasiku hizi mbili tumepumzika kutokana na kejeli na kshfa za Manara. Muro karibu tena mjini.
Nijuavyo mm upo utani wa simba na yanga kama ilivyo desturi ya hizi timu lkn kitendo cha kumkashifu mtu eti "uliumwa ww, mm nimekutibia" huu si uungwana na hata kama kweli alitoa hizo hela. Mara "hunizidi chochote ww zaidi huo ualimu wa madrsasa" haya yote yanaingiaje? Yani jamaa hana itikeli kabisa kwa sie watu wa uswazi tunasema. 'How come' umsimange mtu kisa umempa mchango wako kipindi anaumwa! Ila jamaa ni mchaga wala sishangai desturi yao hawa watu inajulikana
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mala umeumwa tumekuchangiamsemaji wa Simba ana maneno machafu na hutukana wenzake sana, ila wakimgeuzia kibao yeye huanza kulialia na kutafuta huruma kama mtoto wa mwisho.
Katika maendeleo ya timu na si kuwasimanga watu eti kaumwa macho nimemchangia hii sio sportswana yanga tunamsapoti muro, manara ni mjinga sana
Manara nimegundua ni kama CCM. Anataka kutukana wenzake na kuwaita majina yote mabaya ila yeye akiambiwa Ukweli anakimbilia jinai na kuomba msaada kwa watu wasioelewa. Angalau na sisi kwasiku hizi mbili tumepumzika kutokana na kejeli na kshfa za Manara. Muro karibu tena mjini.
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mara umeumwa tumekuchangia
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mara umeumwa tumekuchangia
Mkuu nyie tu ndio mnataka kuyakuza mambo.Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mara umeumwa tumekuchangia