BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Wakati mwingine hii mifungoo inasaidia.
Kwa kweli nimjuavyo Jerry, Manara akasali ashukuru Mungu Jerry yuko mfungoni. Maneno ambayo angeyapata asingeyasahau. Amesahau Jerry amesomea, huo mdomo wake anachoongea hajakipata kwa bahati mbaya, ni shule.
Sasa kama kaambiwa madogo analialiaa kila kona, ooh blaahblaaah -- yaani hiyo ni starter ushukuru Mungu amefunga Kwaresma. Angekutenda vilivyo. Mdomo kazi yake. Uzuri hakukosei adabu ila utani na hamasa za kujibishana nakushauri Manaraa kaa kimya.
Humuwezi huyoo sio Antonio Nugaz. Sioo level yako.