Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Wakati mwingine hii mifungoo inasaidia.

Kwa kweli nimjuavyo Jerry, Manara akasali ashukuru Mungu Jerry yuko mfungoni. Maneno ambayo angeyapata asingeyasahau. Amesahau Jerry amesomea, huo mdomo wake anachoongea hajakipata kwa bahati mbaya, ni shule.

Sasa kama kaambiwa madogo analialiaa kila kona, ooh blaahblaaah -- yaani hiyo ni starter ushukuru Mungu amefunga Kwaresma. Angekutenda vilivyo. Mdomo kazi yake. Uzuri hakukosei adabu ila utani na hamasa za kujibishana nakushauri Manaraa kaa kimya.

Humuwezi huyoo sio Antonio Nugaz. Sioo level yako.
 
Nijuavyo mm upo utani wa simba na yanga kama ilivyo desturi ya hizi timu lkn kitendo cha kumkashifu mtu eti "uliumwa ww, mm nimekutibia" huu si uungwana na hata kama kweli alitoa hizo hela. Mara "hunizidi chochote ww zaidi huo ualimu wa madrsasa" haya yote yanaingiaje? Yani jamaa hana itikeli kabisa kwa sie watu wa uswazi tunasema. 'How come' umsimange mtu kisa umempa mchango wako kipindi anaumwa! Ila jamaa ni mchaga wala sishangai desturi yao hawa watu inajulikana
 
Hakika wanajuana wale japo mmoja akitaniwa kidogo anakuza mambo weee na kutafuta huruma kila kona.
Manara nimegundua ni kama CCM. Anataka kutukana wenzake na kuwaita majina yote mabaya ila yeye akiambiwa Ukweli anakimbilia jinai na kuomba msaada kwa watu wasioelewa. Angalau na sisi kwasiku hizi mbili tumepumzika kutokana na kejeli na kshfa za Manara. Muro karibu tena mjini.
 
Cha ajabu leo hii kila mmoja anaona Manara kaonewa.

Ila ngoja tuwaache tuone wanaichezaje hiyo ngoma yao.
 
Msemaji wa Simba ana maneno machafu na hutukana wenzake sana, ila wakimgeuzia kibao yeye huanza kulialia na kutafuta huruma kama mtoto wa mwisho.

Nijuavyo mm upo utani wa simba na yanga kama ilivyo desturi ya hizi timu lkn kitendo cha kumkashifu mtu eti "uliumwa ww, mm nimekutibia" huu si uungwana na hata kama kweli alitoa hizo hela. Mara "hunizidi chochote ww zaidi huo ualimu wa madrsasa" haya yote yanaingiaje? Yani jamaa hana itikeli kabisa kwa sie watu wa uswazi tunasema. 'How come' umsimange mtu kisa umempa mchango wako kipindi anaumwa! Ila jamaa ni mchaga wala sishangai desturi yao hawa watu inajulikana
 
msemaji wa Simba ana maneno machafu na hutukana wenzake sana, ila wakimgeuzia kibao yeye huanza kulialia na kutafuta huruma kama mtoto wa mwisho.
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mala umeumwa tumekuchangia
 
Tumepumua kwakweli kwa siku hizi [emoji23][emoji23]
Manara nimegundua ni kama CCM. Anataka kutukana wenzake na kuwaita majina yote mabaya ila yeye akiambiwa Ukweli anakimbilia jinai na kuomba msaada kwa watu wasioelewa. Angalau na sisi kwasiku hizi mbili tumepumzika kutokana na kejeli na kshfa za Manara. Muro karibu tena mjini.
 
Mbona Manara huwa anawa attack watu direct, mfano Masau katukanwa sana na Manara, Nugaz ila wanamuacha kutokana na jinsi alivyo Ila kakutana na kichaaa Muro wacha akome
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mara umeumwa tumekuchangia
 
Kaa chini utulie ulinganishe kauli zake na za wasemaji wa timu nyingine, msemaji weni ni mropokaji sana.
 
Back
Top Bottom