Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.

Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.

Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
 
200 (10).gif
 
Samia mwenyewe ni mtoto na mfuasi wa Magufuli wa kwelikweli
 
Back
Top Bottom