Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

Alivyogombana na Simba akajikuta yupo Yanga...

Sasa anataka kugobmana na CCM sijui safari hii atajijuta wapi?
 
Manara akili kubwa bwanga ja town,kama akili yako kisoda huwezi kumuelewa
 
Manara alikuwa CCM, unajua nini kilimtoa huko? Alikuwa anaiba magari kwa jina la ccm, akapata jesi akakaa mahabusu miaka ya kutosha.
 
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.

Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.

Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Yanga imekushinda sasa unaingilia siasa
 
M
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.

Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.

Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Manara umenena ,hawa mmbwa hawa wanomkwamisha mama siku zao zinahesabika walai
 
Manara alikuwa CCM, unajua nini kilimtoa huko? Alikuwa anaiba magari kwa jina la ccm, akapata jesi akakaa mahabusu miaka ya kutosha.
Nitajie ndani ya CCM mtu ambae sio mwizi?
 
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.

Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.

Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Huyo fala kibarua wa GSM nae wa kumuamini, amuulize bosi wake kwanini alibadili jina la kampuni na alikuwa ameifanya TRA mali yake? wafu wanafufuka mmoja mmoja.
 
Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.

Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.

Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Hivi Kumbe hadi leo kuna watu bado mnapoteza muda wenu kumsikiliza Manara?!!!.Dah!!, Poleni Sana.
 
Back
Top Bottom