Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.

Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.

Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi
 
Walinikera sana kumchukua huyu jamaa.
Yanga sijui huwa wanatumia matope kuwaza!hovyo kabisa.
Hata mimi ni Yanga.
"Watu wa Yanga hawana akili ispokua watu wawili tu, mzee Kikwete na babangu Sunday Manara"--- Haji Manara[emoji23]
 
Unakakufuru ndugu. Mauaji ya albino yalikomeshwa na mungu baada ya maombi konki
Kabla ya hapo yaliasisiwa na Mungu kutokana na kutokuwa na hayo maombi konki? We ndio unakufuru sasa. By the way kumbe ni mungu! Basi sawa.
 
Muhimu magu kakomesha mauaji ya zeruzeru.ndiyo leo zeruzeru nasikia amejitokeza kusema mama aachwe apige kazi.
 
Huyu vip mbona atuangusha. Dr.Hon.Rais wa URT John pombe Joseph Magufuli ni shujaa wa kiafrika Pia Alifunga na kufutilia mbali mauaji ndugu zetu .kabla JPM mambo alikuwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom