Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wakati unaandika haya ulikuwa umetumia mihadarati?
Hapana, nimeshangaa tu mtu kama huyo kudhihaki na kukejeli wengine, mtu ambaye anahitaji huruma ya wengine kuishi ndiyo anakuwa mstari wa mbele kudharau na kutukana hata wale waliomhurumia na hata kujitolea kumsaidia.
Ndiyo maana nikamuombea Mungu amsamehe tu kwani ni wazi hajijui wala kujitambua.