Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kaziMsemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia.
Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi.
Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Hahahahahaha! Mkuu umemalizaManara akumbuke Magufuli ndio alokomesha mauaji ya albino.
Kabla ya hapo albino walikuwa dili.
Na huu upuuzi wa kusema raisi anazuiliwa kufanya kazi ulianza kipindi cha bwana yule.Sidhani kama kuna mtu amemzuia rais kufanya kazi zake
"Watu wa Yanga hawana akili ispokua watu wawili tu, mzee Kikwete na babangu Sunday Manara"--- Haji Manara[emoji23]Walinikera sana kumchukua huyu jamaa.
Yanga sijui huwa wanatumia matope kuwaza!hovyo kabisa.
Hata mimi ni Yanga.
Kabla ya hapo yaliasisiwa na Mungu kutokana na kutokuwa na hayo maombi konki? We ndio unakufuru sasa. By the way kumbe ni mungu! Basi sawa.Unakakufuru ndugu. Mauaji ya albino yalikomeshwa na mungu baada ya maombi konki
Hiyo inaitwa tit for tatWakati unaandika haya ulikuwa umetumia mihadarati?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Watu wa Yanga hawana akili ispokua watu wawili tu, mzee Kikwete na babangu Sunday Manara"--- Haji Manara[emoji23]