Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Na huo ndio mtaji wa ccm; hawataki ibadilike hii hali, ili watawale milele
 
bahati mbaya zaidi hao hao wajinga ndio pia hupata nafasi ya kuingia kwenye mifumo na kuleta disaster kana hizi tunazoona.

Kuna wakati huwa nafikiria inawezekana Taifa hili limetekwa na kuna outsider wanaocontrol mfumo huu kwa manufaa yao binafsi.
Obviously watu wenye Akili kubwa huwa wanapigwa vita za kila aina mpaka za kisaikolojia ili wazimishwe !! Sasa nani wanaocontrol huo mfumo ndio sijui kama ni outsiders au ni sisi wenyewe !!
 
Huyu jamaa anachoongea wananchi mnamwelewa kweli? Anafikiria maswala ya rasilimali za nchi ni sawa na ushabiki wa mpira. Pumbaff kabisa huyu😫😫
 
Anamkufuru Mungu Aliye Umba TAIFA, KABILA, LUGHA, NA RANGI!
Hushangai ukimuona nyani wa Pemba Mweusi na nyani wa dubai ni mwarabu!
Kukosa Elimu ni ugonjwa hatari sana!
 
Na wajinga ndio waliopewa dhamana ya kusikilizwa na kuwakilisha maamuzi ya wengi.
 
Hili swala la bandari naona imesha geuka kuwa vita ya WAISLAMU VS WAKRISTO na sio WANANCHI vs WAARABU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…