Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Bora tu angekaa kimya😂
 
Mimi nawaulizi wanajeshi wanalinda mipaka gani wakati mipaka Yao imechukuliwa na waarabu?
Wacha haya maneno yako. Uhuru wa maoni usiutumie kununua kesi ya kunyongwa! Jadili vizuri, toa ushauri. #SISI NI TAIFA.🙏🙏🙏
 
MUARABU hakai foleni Zenji, wakiongea na waarabu hupatwa na midadi na nyege za nyuma, sijui kwa waislamu wa bara ni hivyo pia?
 
Ndio maana anaitwa Haji..
 
Sasa mtu akiseama akina ''Haji'' hawajasoma na wamebaki na uchawa tu, Haji, Kitenge, Sheikh Mwaipopo na kuendelea pamoja na chawa Mwashamba, sijui msafa wa wapi huyu.
 
Hii ni comment ya mwaka. Imejaa kila aina ya ukweli.
 
Kwahiyo hata white nae mwarabu,yani ccm imebaki kutetewa na wajinga tu
 


Walilelelwa na baba yao aliyewekwa madarakani na Muingereza na hii ndio hali

 
Taifa hili linahitaji misimu kadhaa ya kiongozi katili na zaidi ya chidi ili wapumbavu wengi na wafanya mizaha wafe ili ipatikane base line ya kujenga Taifa na watu serious.
Niliwaambia watu.....wakaniona mjinga tatizo moja baya sana la jpm ni upole .....ukweli ni kwamba mtu kama msoga hakutakiwa kuachwa hai.....mwingine ni rostam ...mwingine ni singasinga na wote alio chukua pesa za rumbesa na wengine wengi sana
 
Hakuna Mkristu aliyetetea mwekezaji tapeli kwa kigezo cha uzungu na Ukristu.
Ndugu zetu ndio wanamuona muarabu kama mtume vile.
 
Huyo ni mgonjwa, dawa anazotumia ni Kali Sana. Sasa siyo vizuri kubishana na mgonjwa au kumsema vibaya mgonjwa
 
Acha uongo hakuna Mzungu mkristo anaiba Tanzania ni watanzania wenyewe wezi
 
Kwa hiyo kwako wewe unahisi Shivji ana akili kuliko Diamond au? Kuwa na degrees siyo kwamba una akili. Ni kwamba ulielekeza akili zako kuzipata. Na hilo tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…