Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Hebu tuheshimishe jf na kuacha kuquote wagonjwa wa akili
 
Hawa watetezi wengine wa bandari wanavuruga zaidi kuliko kutengeneza. Shame
 
Na ukitaka kujua uwezo wa akili ya mtanzania ,pita humu mitandaoni
 
Bahati mbaya iliyolikumba taifa letu ni kwamba wajinga na wenye matatizo ya akili ndio wanaopewa airtime kuliko wenye weledi......

Imagine watu kama hawa kina Manara, Baba Levo ndio wanaosimama kujibu na kutetea mambo ya kitaalamu yanayoamua hatima ya taifa letu.......

Tunaunda taifa la watu wajinga......
 
Mwenye akili Yanga ni Mzee Kikwete na Sunday Manara wengine wote fyatu. Sasa unategemea nini kutoka kwa fyatu kama Haji
 
Yeye anamjlikj ninj sasa maana Tanganyika ni ya mjeruman .mipaka yote na ukubwa wote wa Tanganyika ni màli ya German
 
Bahati mbaya sana, hata viongozi wetu ni wajinga sana
 
Kwa hiyo kwako wewe unahisi Shivji ana akili kuliko Diamond au? Kuwa na degrees siyo kwamba una akili. Ni kwamba ulielekeza akili zako kuzipata. Na hilo tu mkuu.
Mkuu, wewe ni miongoni mwa hao wajinga niliowazungumza kwenye ujumbe wangu. Kama umesoma ujumbe wangu na ukaja na hii reply basi una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako.

Kwako wewe unaamini Prof. Shivji na Diamond wana uelewa sawa kwenye sheria za mikataba?
 
Na dini
 
Kwa hiyo kwako wewe unahisi Shivji ana akili kuliko Diamond au? Kuwa na degrees siyo kwamba una akili. Ni kwamba ulielekeza akili zako kuzipata. Na hilo tu mkuu.
Hakuongele nani ana akili zaidi ya mwenzie!
Unateseka ukiwa wapi??
 
Huyu ndio kaongea mataqo kabisa. Yanga ukimix CCM unapata kitu cha ajabu sana
Huyo ni Simba wenu, pale Yanga amepewa hifadhi tu kama Mkimbizi aliyemkimbia Barbara na MO pale Simba.
Muda wowote kuanzia sasa anarudi kwenye Chama lake ili muendelee kujumuika na kufurahia naye, ninyo ni Dugu Moya.
 
Ujinga ni ugonjwa mbaya sana!
Ikitokea mzee ameanguka basi badala ya kumsaidia atazomewa na wengine kumjambisha....[emoji15][emoji24]
 
Basi kama ni hivyo inabidi watoke pale misri watuachie kermet yetu sie wakushi
Hii mijitu kwa fikra zake ndo ile iiyowauza ndugu zao kwa utumwa. Na unafiki wao ndio waliofikisha bara la afrika hapa tulipo,
Haji manara, baba levo, mwijaku, masanja
Hii ni mifano ya watu wa hovyo kabisa kuwepo dunjani
Usitegemee kupata haki sehemu kuna watu wa aina hii a wawe karibu na bosi
Hawa hawawezi kukutetea mwa tatizo lolote hata kama wanajua hujakosa
Wao watapigilia msumari tena wa moto ukafie mbalj
Uwa hawajari maumivu kwa mtu mwingine
Selfish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…