Nawaambien hata uwe na akili vp au uelewa wa hali ya juu lkn ukijiingiza kweny uchawa wa ku praise and worship, nakuhakikishia lazima akili uiache kwanza kabatini!!!Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;
" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."
Haji.
Alichoandika Haji Manara
Nashaur wakolon wote warudi kumiliki mali zao, au nasema uongo ndugu yang covax?Kwahiyo mnuku vyote acha kutoa vipande utapotosha watu.
Yani mkuu ni mnooo asolimia 90 ya watanzania ni wajinga
Nchi ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana kwenye mitandao ni nchi yenye watu wajinga wengi. Huu ni ukweli japo unaumiza.
Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji aitishe mkutano na wanahabari wa kuuchambua mkataba huo wa DP na Diamond aitishe mkutano na wanahabari wa kuchambua mkataba huo huo. Mtaona ni nani atakusanya wanahabari wengi.
Nchi hii ina watu wajinga wengi, wengi kupita wale wenye akili.
Kwa wasiomfahamu Manara ni huyo anaye chekelea kutomaswa manyonyo na mwanaume mwenzake hapoKada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;
" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."
Haji.
Alichoandika Haji Manara
Mimi nawaulizi wanajeshi wanalinda mipaka gani wakati mipaka Yao imechukuliwa na waarabu?
Wewe ni miongoni mwa wale wanaomini katika akili za kukaririshwa. Unadhani wote tunaoona mkataba haujakaa vizuri tumesoma sheria? Utaniambiaje kuhusu walio saini? Hawajasoma sheria? Wanao tetea nao hawajasoma? Kwanza uwe na akili alafu ndo ukakariri.Mkuu, wewe ni miongoni mwa hao wajinga niliowazungumza kwenye ujumbe wangu. Kama umesoma ujumbe wangu na ukaja na hii reply basi una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako.
Kwako wewe unaamini Prof. Shivji na Diamond wana uelewa sawa kwenye sheria za mikataba?
Kumbe hizi habari ni kweli,Sunday kala hasara hapaKwa wasiomfahamu Manara ni huyo anaye chekelea kutomaswa manyonyo na mwanaume mwenzake hapoView attachment 2674906
Kwahiyo kama ilijengwa na Sultan ni ya Oman au Dubai?Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;
" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."
Haji.
Alichoandika Haji Manara
Kumbe zeruzeru ni Dryopithecus badala ya Homo Sapien Sapien, Baghosha!Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;
" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."
Haji.
Alichoandika Haji Manara
Uko sahihi kabisa. Wajinga walio wengi nchi hii ndio mtaji wa watawala. Ingekua tuna werevu wengi basi watawala wasingeingia mikataba ya ajabu ajabu.
Nchi ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana kwenye mitandao ni nchi yenye watu wajinga wengi. Huu ni ukweli japo unaumiza.
Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji aitishe mkutano na wanahabari wa kuuchambua mkataba huo wa DP na Diamond aitishe mkutano na wanahabari wa kuchambua mkataba huo huo. Mtaona ni nani atakusanya wanahabari wengi.
Nchi hii ina watu wajinga wengi, wengi kupita wale wenye akili.
Sio kweli,Prof Shivj age yake si sawa na Age ya Diamond kuwalinganisha kwa namna uliyowekaUkitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji