Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Huyo jamaa ni aina ya vijana wa ovyo wa kizazi hiki! Kizazi cha watu wanaojiita chawa! Manara hajiiti chawa direct lakini tabia zinaongea kitu kile kile.

Kama una akili timamu huwezi kujiingiza kwenye mjadala wa mambo serious kichawachawa! Huo uchawa kwenye mpira unamtosha na kumpa ugali, huku kwingine anatafuta yale yaliyompa enzi zile akaapa hataki tena siasa.
 
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.

Alichoandika Haji Manara
Nawaambien hata uwe na akili vp au uelewa wa hali ya juu lkn ukijiingiza kweny uchawa wa ku praise and worship, nakuhakikishia lazima akili uiache kwanza kabatini!!!
 
Nchi ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana kwenye mitandao ni nchi yenye watu wajinga wengi. Huu ni ukweli japo unaumiza.

Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji aitishe mkutano na wanahabari wa kuuchambua mkataba huo wa DP na Diamond aitishe mkutano na wanahabari wa kuchambua mkataba huo huo. Mtaona ni nani atakusanya wanahabari wengi.

Nchi hii ina watu wajinga wengi, wengi kupita wale wenye akili.
Yani mkuu ni mnooo asolimia 90 ya watanzania ni wajinga
 
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.

Alichoandika Haji Manara
Kwa wasiomfahamu Manara ni huyo anaye chekelea kutomaswa manyonyo na mwanaume mwenzake hapo
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Huyu dingi hua anaendeshwa reverse sio bure. Na yeye tukisema ni mali ya waganga na wapiga ramli tutakuwa tumekosea?
 
Mkuu, wewe ni miongoni mwa hao wajinga niliowazungumza kwenye ujumbe wangu. Kama umesoma ujumbe wangu na ukaja na hii reply basi una matatizo makubwa sana kwenye uelewa wako.

Kwako wewe unaamini Prof. Shivji na Diamond wana uelewa sawa kwenye sheria za mikataba?
Wewe ni miongoni mwa wale wanaomini katika akili za kukaririshwa. Unadhani wote tunaoona mkataba haujakaa vizuri tumesoma sheria? Utaniambiaje kuhusu walio saini? Hawajasoma sheria? Wanao tetea nao hawajasoma? Kwanza uwe na akili alafu ndo ukakariri.
 
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.

Alichoandika Haji Manara
Kwahiyo kama ilijengwa na Sultan ni ya Oman au Dubai?

Kwahiyo kama ilijengwa na Sultan basi unamaanisha siyo mali ya JMT?

Kwahiyo kama ilijengwa na Sultan ile ya Mombasa, Kilindi, Sofala nazo za Sultan? Mbona hapewi hizo zingine?

Manara umedhalilisha CCM kwa kuonyesha uwezo hafifu na duni wa kufikiri.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu;

" Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu."

Haji.

Alichoandika Haji Manara
Kumbe zeruzeru ni Dryopithecus badala ya Homo Sapien Sapien, Baghosha!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wanataka kuvunja muungano na wameona hii ndiyo njia pekee ya Tanganyika kuanzisha mchakato wa kuuvunja mchakato. Wako sahihi. Tuuvunje.
 
Nchi ambayo watu wajinga ndio maarufu na wanafuatiliwa na kusikilizwa sana kwenye mitandao ni nchi yenye watu wajinga wengi. Huu ni ukweli japo unaumiza.

Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji aitishe mkutano na wanahabari wa kuuchambua mkataba huo wa DP na Diamond aitishe mkutano na wanahabari wa kuchambua mkataba huo huo. Mtaona ni nani atakusanya wanahabari wengi.

Nchi hii ina watu wajinga wengi, wengi kupita wale wenye akili.
Uko sahihi kabisa. Wajinga walio wengi nchi hii ndio mtaji wa watawala. Ingekua tuna werevu wengi basi watawala wasingeingia mikataba ya ajabu ajabu.
 
Inahisiwa na kidhaniwa fedha zilizomwagwa kufanya PR/Branding/Strategic communication ya DPW si ndogo..

Wasanii,Media,Wanamichezo,..na sasa kwenye kumbi Za starehe kuna matukio (Events) Za kusifu,kutukuza na kuabudu dubai na uarabu..

Nguvu ni kubwa mnoo ya kushawishi ..Nani anafadhiri? Kwa nini? Sheria na taratibu zinaruhusu?

Je,Tutafika?
 
Ukitaka kujua hii nchi imeoza kwa kiasi gani, Prof. Shivji
Sio kweli,Prof Shivj age yake si sawa na Age ya Diamond kuwalinganisha kwa namna uliyoweka

kweli wengi wataonekana ni wajinga lakini si kweli,Kuna mambo mengi yanayoweza sababisha

watu waitikie wito wa mtu au kikundi flani,watanzania wa awamu ya sasa sio wajinga kama mnavyofikiri.

Wajinga Wengi ndio walioshika MADARAKA na ndio wenye nchi,wenye akili ndio hao unaosema wakiitwa na Diamond wanaenda... Utakataa ila ndio ukweli.
 
Anayejua elimu ya Manara atusaidie tulinganishe na upeo wa fikra zake...kama ni STD 4 au form four failure tujue kabla ya kumuhukumu..
 
Back
Top Bottom