MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Huyo jamaa ni aina ya vijana wa ovyo wa kizazi hiki! Kizazi cha watu wanaojiita chawa! Manara hajiiti chawa direct lakini tabia zinaongea kitu kile kile.
Kama una akili timamu huwezi kujiingiza kwenye mjadala wa mambo serious kichawachawa! Huo uchawa kwenye mpira unamtosha na kumpa ugali, huku kwingine anatafuta yale yaliyompa enzi zile akaapa hataki tena siasa.