Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

Ningeshangaa yaani kabisa Danger Zone akubali Kupima?
Umenipa hasira, hadi nimeanzisha uzi wa kumkataa kabisa, hatakiwi yule, na simba mkataeni, binadamu asie na msimamo ni hatari unakumbuka alimnanga makonda wakati hana cheo, alivorudi kwenye uenezi wakaanza kujisogeza dogo akawaweka mbali kabisa, hakuwataka tena, yule ni aina ya watu wanafiki
 
Kisaikolojia Watu wote walio katika Danger Zone huwa hawana Akili sawa sawa Mkuu.
 
Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
Manara ni Simba ila njaa kalii inayotokana na maisha ya starehe anayopenda ndio yanayomfanya alivyo sasa.

Manara siyo Yanga na hawezi kuwa Yanga hata siku moja.
 
Attachments

  • Wanasimba wooote mnaopambana kwenye timu nyingine huko jukwaa lenu la siri tumewaandalia SIMBA...mp4
    1.8 MB
Hana hela sasa akija yanga atauza siri zetu wana yanga. Haaminiki kabisa. Bora arudi simba
Tatizo Simba, Mo hataki machawa.

Na Mo hana pesa za kuharibu kugahramia starehe za manara, maana Pesa za Mo ni za familia siyo za kuchota kipumbavu kwasababu ya uchawa
 
Manara ni Simba ila njaa kalii inayotokana na maisha ya starehe anayopenda ndio yanayomfanya alivyo sasa.

Manara siyo Yanga na hawezi kuwa Yanga hata siku moja.
Aliipenda simba na simba imtema baada ya kuona hata taaluma hana ni gia maji tia maji,
 
Nugaz, alikua mtu bora sana, bumbuli alikua mtu bora Kwa nini waliondoka fitna za haji na roho mbaya yake hatutaki ijirudie tena hiyo kitu
 
100% ya wanayanga hawamkubali na hana uungwaji mkono kabisa ndani ya yanga, haji angefahamu angetulia zake simba, kinachomkwamisha ni tabu la rasa, yani kuzaliwa kariakoo anajiona mjanja, anashidwa kuelewa kuna watu wamezaliwa newyork, analeta ujanja wa kitoto sana, yule hua tunasema ana njaa sana , angekua vyema angeemdeleza miradi yake kuliko kogombana na akina kamwe
Aro....

Haji hajazaliwa K/koo, kazaliwa mjini Amsterdam Uholanzi wakati mzee wake Sunday akikipiga huko, ni u Swahili tu unamsumbua lakini ana exposure nzuri tu.
 
Tatizo la manara ni kuropoka na matusi hana cha maana kwenye usemaji zaidi ya kupiga makelele. Aangalie vijana wanavyofanya kazi vizuri, wanaweka utani lakini si matusi ndo maana mashabiki wanawakubali hawa vijana. Akae hivyohivyo maana uhakika ni kwamba yeye ni Simba damu ila amejivika puto la uyanga anataka kuvuruga mambo.
 
Back
Top Bottom