GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Na Waarabu wanajua kweli kweli 'Kupigisha Miluzi' Watu wakuja wakuja.Anapenda waarabu, naye hujiona muarabu haji bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Waarabu wanajua kweli kweli 'Kupigisha Miluzi' Watu wakuja wakuja.Anapenda waarabu, naye hujiona muarabu haji bana
You’ve nailed it ndugu. Hana kabisa hekima, ni mtu ambaye analeta chuki. Aangalie Ally Kamwe he is professional, solemn and candid.Simba kwenyewe hawamtaki, anatumia mbinu za miaka ya 90 kuhamasisha mpira, anajenga uadui baina ya mashabiki muda wote kutukana, hajatulia kiakili hatumtaki
Umenipa hasira, hadi nimeanzisha uzi wa kumkataa kabisa, hatakiwi yule, na simba mkataeni, binadamu asie na msimamo ni hatari unakumbuka alimnanga makonda wakati hana cheo, alivorudi kwenye uenezi wakaanza kujisogeza dogo akawaweka mbali kabisa, hakuwataka tena, yule ni aina ya watu wanafikiNingeshangaa yaani kabisa Danger Zone akubali Kupima?
Ile Manara Tv haimlipi,kazi yake kujirekodi yeye na demu wake yule.Kwani Manara Tv yake haimlipi?
Anyway vyuma vmekaza Huko dubei🤣Ukikutana nae muulize GENTAMYCINE naomba kujua Siku hizi haendi tena Dubenga ( Dubai ) kupiga mluzi / kubinua mchanga kama kawaida yake?
Wakati huu mashabiki wa pande zote hatumtaki hata 100% simba hawamtaki, mtu wa kutukana na kujenga chuki hatakiwi hata Kwa bureYou’ve nailed it ndugu. Hana kabisa hekima, ni mtu ambaye analeta chuki. Aangalie Ally Kamwe he is professional, solemn and candid.
Kisaikolojia Watu wote walio katika Danger Zone huwa hawana Akili sawa sawa Mkuu.Umenipa hasira, hadi nimeanzisha uzi wa kumkataa kabisa, hatakiwi yule, na simba mkataeni, binadamu asie na msimamo ni hatari unakumbuka alimnanga makonda wakati hana cheo, alivorudi kwenye uenezi wakaanza kujisogeza dogo akawaweka mbali kabisa, hakuwataka tena, yule ni aina ya watu wanafiki
Waarabu wamechoka au?Anyway vyuma vmekaza Huko dubei🤣
Mtani unakuaje na akili wakati ubongo unaliwa na fungus kila dakikaKisaikolojia Watu wote walio katika Danger Zone huwa hawana Akili sawa sawa Mkuu.
Namuonea mno Huruma yule Demu / Mkewe na lawama zangu zote nazipeleka kwa Dada yangu Zamaradi Mketema.Ile Manara Tv haimlipi,kazi yake kujirekodi yeye na demu wake yule.
Nimecheka mpaka basi Mtani.Mtani unakuaje na akili wakati ubongo unaliwa na fungus kila dakika
Atapauka yule,aombee yanga wampe kibarua chochote lasivyo hali itakua mbaya.Namuonea mno Huruma yule Demu / Mkewe na lawama zangu zote nazipeleka kwa Dada yangu Zamaradi Mketema.
Awamtaki kabisaWaarabu wamechoka au?
Manara ni Simba ila njaa kalii inayotokana na maisha ya starehe anayopenda ndio yanayomfanya alivyo sasa.Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
Tope jingi au?Awamtaki kabisa
Tatizo Simba, Mo hataki machawa.Hana hela sasa akija yanga atauza siri zetu wana yanga. Haaminiki kabisa. Bora arudi simba
Aliipenda simba na simba imtema baada ya kuona hata taaluma hana ni gia maji tia maji,Manara ni Simba ila njaa kalii inayotokana na maisha ya starehe anayopenda ndio yanayomfanya alivyo sasa.
Manara siyo Yanga na hawezi kuwa Yanga hata siku moja.
Aro....100% ya wanayanga hawamkubali na hana uungwaji mkono kabisa ndani ya yanga, haji angefahamu angetulia zake simba, kinachomkwamisha ni tabu la rasa, yani kuzaliwa kariakoo anajiona mjanja, anashidwa kuelewa kuna watu wamezaliwa newyork, analeta ujanja wa kitoto sana, yule hua tunasema ana njaa sana , angekua vyema angeemdeleza miradi yake kuliko kogombana na akina kamwe