Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

NI MUISLAMU NUSU MZANZIBAR TULIA KAMA ULIVYO ASIJE KUKURIPOTI KWA ABDUL...
MANARA ANA CHEO CHA GENERAL CHAWA
Aende kokote kachemka sijui kama ccm inavumilia watu wapuuzi!
 
Kwa hiyo sababu ni hasira za kupigwa 4 na wananchi ?!! Ha ha ha
 
Daaaah ila askari magereza huwa naona wanafundishwa nidhamu sana hawa watu. Sijawahi ona wanaleta fujo hata kidogo. Huyo angejichanganya kwa bakabaka 😁😁😁 angekuwa mwekundu
Kwa hiyo BAKABAKA ndiyo wanatakiwa wapige watu hovyo kinyume cha taratibu ?!!
Mentalities za hovyo kabisa hizi....
 
Siku ajichanganye apelekwe magereza ata siku mbili.. akitoka atasalimia hadi watoto wa shule ya msingi
Ha ha ha akifanya kosa la kuhukumiwa ataiomba mahakama IREJEE hii thread ili YASIMKUMBE hayo usemayo....
 
It makes sense...
 
Aropoke mara ngapi. Rejea Barbara, rejea Karia nk
 
Huyu ni keng.e
 
Nimeangalia ili kujirisha lakini nimeifunga kwa kuogopa alichofanya haji ni dharau hata kwa rais una kua public kuwa insult askari wa jamhur akiwa na uniform I see suamini hajui hao wanajiita kampuni moja ipo siku kwa hao hao magereza haki ktk umri wake atasimulia muda ni mwalimu hao sio mambo ohhh
 
Hujui code of conduct ukishakua askari na kuna ushara au tatizo la kinidhamu sehemu haya bwana kwa hiyo bosi wa magereza tanzania sio amiri jeshi mkuu ok labda sielew wape vichwa wengn na labda huyo askari ni ajira za juz ww ulimsikia magu alivomwambia IGP wa wakati ule I wish could....
 
Umeandika kishabiki sana, na nitakushangaa sana kama umeingiza Usimba na Uyanga hadi unatamani eti Haji akamatwe! Katika hili, both Afande na Manara wana poor attitude! Kwa mfano Afande alipoombwa asubiri kidogo alikuwa na sababu gani za kumwambia Manara hizo interview zake akafanyie kwenye gari ya Uto?! Sasa hapo aliongea kama Afande wa Jeshi la Magereza au kama Shabiki wa Tanzania Prison Sports Club?!
 
Polisi ni Basha wa Mama.ko..pumbavu.
 
Siku moja aje kujibu hivyo hivyo kwa askari wa JW. Atawasimulia.

Anadhalilisha watu kwa dharau sana!
JW ndio nini mbona nao wakikutana na watu wao wanapigwa na wengine hadi wanauawa wakiamini kuwa gwanda litawalinda ni ujinga kuamini kuwa nafasi yako ndio itakusaidia hawa jamaa wa Magaereza ni moja ya watu wanaojitambua sana mtu mjinga sio wa kubishana nae..
 
Utovu wa kinidhamu dhidi ya nani na huo utovu wa nidhamu umefanyika wapi?! Yaani upo kwenye Uwanja wa Soka halafu bado unataka usujudiwe na asiyefanya hivyo ni mtovu wa nidhamu?! Uwanja wa Soka?! Huyo askari na mwenyewe hana nidhamu kwa sababu baada ya Haji kuomba wasubiri kidogo wanamalizia asingeleta tena habari za eti wakafanyie interview yao kwenye gari ya Yanga! Hapo alishauvua Uafande wake bali akawa Shabiki wa Prison SC! Who's Haji pale Uto hadi amtake akafanyie interview kwenye gari ya Uto?! Ndivyo interviews zote baada ya kumalizika soka zinafanyika kama alivyotaka afande au kwa sababu wao ni Maafande basi everything else kiwe in favors of wao?! Kwanza mbasi mkubwa wote ulienda kufanya nini ndani badala ya kuu-park nje?! Au ni Maafande waliingia kutazama soka bila viingilio halafu bado wanataka wawe treated kama Maafande badala ya Mashabiki Fake wa Prison SC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…