Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

Jidanganye na aendelee kudharau watu. Hatumuombei mabaya ila siku akiyakayaga.🥲🥲🥲
 
Naam ndiyo hao mkuu..
 
Mkuu na wewe askari magereza nini?
 
Hii sasa ndo imemaliza utata ote hakuna kosa alilofanya haji hapo
 
Askar huhitajika wAwe wawili ili achukue hatua.
 
Shida ya kuandika huku unatafuna mahindi ya kukaanga huku umekalia spoko ya baiskeli.
 
HAJI MANARA yupo sahihi kama aliamrishwa badala ya kuombwa kiustaarabu asogeze gari.

Kuamrishwa si sahihi kwasababu pale si Gerezani na Afisa Magereza wana mamlaka magerezani sio Uraiani
 
Huo ndio ushamba, upumbavu na ujinga wa wengi, kwani ni Haji peke yake ndiye anayeongea na JK? Huyu ana matatizo ya akili, ile sura peke yake inaongea
Kama mfumo unaruhusu we ni nani??tafuta connection.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…