Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nilimsikiliza Haji alivyosema kwamba aliheshimu mamlaka ya uteuzi hivyo akashindwa kutoa hiyo siri hapo awali ila alimwambia ukirudia tena nitatoa siri yako hii.
Tetesi jamaa ni GASHO analiwa KIBOGA au ana michezo ya KIGASHO kama alivyosema DADA LAO LA USA.
GENTAMYCINE,
Kwa kauli yako hi Jerry atajitokeza rasmi...unafikiri Jerry Hana Siri za mikia na watu wake...subiri uone Kama hutashuhudia maafa ....
Kasema siri yenyewe alimtumia kwenye Message na ukumbuke Haji alikaa akasaka siri zake kwa watu mbalimbali wakiwemo akina Le mutuz na wenzao na anajua hizo siri zitamkera Rais magufuli na ujue yupo tayari kwa vita jerry muro afufue yake na yeye ataendelea na ya Jerry muro kila mmoja afukue kaburi za mwenzie ndipo utajua yupo mkweliHivi Manara ana matatizo gani ana siri gani ambayo inamhusu Muro akitamka ndio Tanzania itasimama na huenda akatenguliwa na u DC Hivi anajua viongozi wa Serikali wanavyopatikana kwama akisema yeye basi final Jery wakati anampa zake Manara alikuwa likizo na sasa yupo kituoni kwake Halafu Manara huyuhuyu wakati anamjibu Jery alisema Rais na Waziri wa Tamisemi watasema kitu mbona kimya sijui kwanini anapenda kuihusisha katika upuzi wake Nayeye wakifukua madhambi yake alipokuwa katibu mwenezi CCM Dar si ataibika
Lileta mada lenyewe ndilo hugeuzwa na Jerry! Eti Tanzania itasimama, yaani Mimi nisimame kwa ajili ya mambo ya Jerry? Shauri yako kama Bashite unamwonea wivu!
Nimepitia uzi mzima. Nimeona huenda mheshimiwa kuna vitendo vibaya alifany huko nyuma ila kasahau kua duniani hakuna siri ya watu wawili
Hivi unamjua vizuri GENTAMYCINE? Subiria mvua ya matusi
Shoga nn?
Hivi Manara ana matatizo gani ana siri gani ambayo inamhusu Muro akitamka ndio Tanzania itasimama na huenda akatenguliwa na u DC Hivi anajua viongozi wa Serikali wanavyopatikana kwama akisema yeye basi final Jery wakati anampa zake Manara alikuwa likizo na sasa yupo kituoni kwake Halafu Manara huyuhuyu wakati anamjibu Jery alisema Rais na Waziri wa Tamisemi watasema kitu mbona kimya sijui kwanini anapenda kuihusisha katika upuzi wake Nayeye wakifukua madhambi yake alipokuwa katibu mwenezi CCM Dar si ataibika
Tanzania kuna wakuu wa mikoa 4
1. Mwanri
2. Ally
3. Arusha
4. Chalamila
Wakuu wa wilaya 2
1. Ole kijana wa Hai
2. Na huyu wa Arumeru
Nashangaa wiki hizi 2 au 3 huyu wa Arumeru hasikiki kabisa. Sifa zoote anachukua ole.
Manara.......ntakutafuta
Kama naijua hivi niling'atwa sikio na mtoto mmoja wa townMbona inafahamika