Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Nipo kimya kwasababu imeniudhi sana, yaani watu washindwa kucheza mpira kwa masaa mawili mbele, kisa Kanuni ilhali wao wanavunja Katiba ya TFF na yao pia, hawa walitakiwa wawajibishe kabisa.

Ndo anauliza Katiba na Kanuni kipi kifuatwe kwanza.
 
Hiyo sababu TFF hawajatoa popote we ni ...........
 
Nipo kimya kwasababu imeniudhi sana, yaani watu washindwa kucheza mpira kwa masaa mawili mbele, kisa Kanuni ilhali wao wanavunja Katiba ya TFF na yao pia, hawa walitakiwa wawajibishe kabisa.

Ndo anauliza Katiba na Kanuni kipi kifuatwe kwanza.
Ingekua vzr ungeonesha kipengele cha katiba ambacho yanga wamekivunja..usikute hata huijui katiba ya yanga na TFF ila umedandia tu kauli ya manara...unapaswa kujua kwamba manara ni propagandist
 
Ingekua vzr ungeonesha kipengele cha katiba ambacho yanga wamekivunja..usikute hata huijui katiba ya yanga na TFF ila umedandia tu kauli ya manara...unapaswa kujua kwamba manara ni propagandist
Nionyeshe kwanza Kanuni inayokufanya ukiwa na malalamiko ugomee mechi halafu nitakuonyesha.

Acheni kujifanya wajua wa Sheria nyie ilhali hamna kitu.
 
Kule hamna udikteta kupangia watu waongee kile unachopenda
 
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti

Wasipoandika habari za Simba wataandika nini sasa? wasipoizungumzia Simba kipindi cha Michezo cha masaa matatu wataongelea nini? Simba kwa sasa haikwepeki,lakini pia kumbuka Simba usipoiandika unaipa sababu nzuri sana ya Platforms zake za Social Media kukua,watu kwa sasa kupata habari za Simba hawategemei Radio au Magazeti,enzi hizo hazipo tena. Wakiamua wasuse tu hakuna kitakachoharibika,lakini bahati mbaya sana sioni hata wa kususa.
 
Nilimsikia kabisa huu ushauri.. Lakini ndo yale yale tunasema Unafiki umekithiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…