ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Maelezo mdau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo mdau
Nipo kimya kwasababu imeniudhi sana, yaani watu washindwa kucheza mpira kwa masaa mawili mbele, kisa Kanuni ilhali wao wanavunja Katiba ya TFF na yao pia, hawa walitakiwa wawajibishe kabisa.Baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira bongo ni takataka kweli,
Nchi za wenzetu upuuzi kama huu uliotokea wa kuvuruga mechi ya Simba vs Yanga ungekuta waandishi wanakomalia wahusika wawajibike kwa kujiuzulu, lakini huku kwakuwa baadhi ya waandishi wana uswahiba na kujipendekeza pendekeza kwa hawa viongozi basi wanaishia kuumauma tu ktk taarifa zao na uchambuzi
Huyu Manara ameshafanya mengi sana ya kipuuzi watu wanamuangalia tu
Kiufupi amevuka mipaka AWAJIBISHWE na sheria ichukue mkondo wake maana anavuka mipaka
Page ya tatu hii no voice note.
Hiyo sababu TFF hawajatoa popote we ni ...........EFM.
siku ya mechi ya Simba na dodoma mji.
Wakati wakiwa kwenye kipindi Chao cha michezo walishauri kuwa sababu Samia atahutubia Bunge ilitakiwa mechi hyo ichezwe saa 8 mchana au isogezwe mbele muda sababu wananchi watakuwa bize na hotuba.
Cha ajabu mechi ya Simba na utopolo imesogezwa mbele sababu ya rais alikuwa anataka kuangalia hyo MECHI.wamegeuka
Hiyo sababu TFF hawajatoa popote we ni ...........
Ingekua vzr ungeonesha kipengele cha katiba ambacho yanga wamekivunja..usikute hata huijui katiba ya yanga na TFF ila umedandia tu kauli ya manara...unapaswa kujua kwamba manara ni propagandistNipo kimya kwasababu imeniudhi sana, yaani watu washindwa kucheza mpira kwa masaa mawili mbele, kisa Kanuni ilhali wao wanavunja Katiba ya TFF na yao pia, hawa walitakiwa wawajibishe kabisa.
Ndo anauliza Katiba na Kanuni kipi kifuatwe kwanza.
Nionyeshe kwanza Kanuni inayokufanya ukiwa na malalamiko ugomee mechi halafu nitakuonyesha.Ingekua vzr ungeonesha kipengele cha katiba ambacho yanga wamekivunja..usikute hata huijui katiba ya yanga na TFF ila umedandia tu kauli ya manara...unapaswa kujua kwamba manara ni propagandist
Kule hamna udikteta kupangia watu waongee kile unachopendaBaadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira bongo ni takataka kweli,
Nchi za wenzetu upuuzi kama huu uliotokea wa kuvuruga mechi ya Simba vs Yanga ungekuta waandishi wanakomalia wahusika wawajibike kwa kujiuzulu, lakini huku kwakuwa baadhi ya waandishi wana uswahiba na kujipendekeza pendekeza kwa hawa viongozi basi wanaishia kuumauma tu ktk taarifa zao na uchambuzi
Yanga ajagomea mechi acha upotoshajiNionyeshe kwanza Kanuni inayokufanya ukiwa na malalamiko ugomee mechi halafu nitakuonyesha.
Acheni kujifanya wajua wa Sheria nyie ilhali hamna kitu.
Unavyoshadadia ni takataka walishakuja kukulia shidaTakataka ni takataka tu hakuna jina lingine
Ana swaim ana swaimMUME WA mama ako
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).
Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti
Hizi sio Zama zile za magezti na redio, wakiziba huku, habari zitaibukia kule.
Hawawezi hata kidogo, habari za Simba Sc zinauzika kuliko habari za team yoyote hapa bongo.Kwanza hata hiyo jeuri hawana
Hii kitu naona kaifuta chap
Hio post ina uhusiano gani na manaraMbona kafuta fasta kama anajiamini,Shaffih hamuwezi Haji
Nawe pia Umenijibu Kipumbavu mno tu.Umeongea Ujinga Sana
Nilimsikia kabisa huu ushauri.. Lakini ndo yale yale tunasema Unafiki umekithiri sana.EFM.