Haji Manara: Wachambuzi wa michezo ni wanafiki na takataka

Baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira bongo ni takataka kweli,

Nchi za wenzetu upuuzi kama huu uliotokea wa kuvuruga mechi ya Simba vs Yanga ungekuta waandishi wanakomalia wahusika wawajibike kwa kujiuzulu, lakini huku kwakuwa baadhi ya waandishi wana uswahiba na kujipendekeza pendekeza kwa hawa viongozi basi wanaishia kuumauma tu ktk taarifa zao na uchambuzi
Nipo kimya kwasababu imeniudhi sana, yaani watu washindwa kucheza mpira kwa masaa mawili mbele, kisa Kanuni ilhali wao wanavunja Katiba ya TFF na yao pia, hawa walitakiwa wawajibishe kabisa.

Ndo anauliza Katiba na Kanuni kipi kifuatwe kwanza.
 
EFM.
siku ya mechi ya Simba na dodoma mji.
Wakati wakiwa kwenye kipindi Chao cha michezo walishauri kuwa sababu Samia atahutubia Bunge ilitakiwa mechi hyo ichezwe saa 8 mchana au isogezwe mbele muda sababu wananchi watakuwa bize na hotuba.
Cha ajabu mechi ya Simba na utopolo imesogezwa mbele sababu ya rais alikuwa anataka kuangalia hyo MECHI.wamegeuka
Hiyo sababu TFF hawajatoa popote we ni ...........
 
Nipo kimya kwasababu imeniudhi sana, yaani watu washindwa kucheza mpira kwa masaa mawili mbele, kisa Kanuni ilhali wao wanavunja Katiba ya TFF na yao pia, hawa walitakiwa wawajibishe kabisa.

Ndo anauliza Katiba na Kanuni kipi kifuatwe kwanza.
Ingekua vzr ungeonesha kipengele cha katiba ambacho yanga wamekivunja..usikute hata huijui katiba ya yanga na TFF ila umedandia tu kauli ya manara...unapaswa kujua kwamba manara ni propagandist
 
Nionyeshe kwanza Kanuni inayokufanya ukiwa na malalamiko ugomee mechi halafu nitakuonyesha.

Acheni kujifanya wajua wa Sheria nyie ilhali hamna kitu.
 
Baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira bongo ni takataka kweli,

Nchi za wenzetu upuuzi kama huu uliotokea wa kuvuruga mechi ya Simba vs Yanga ungekuta waandishi wanakomalia wahusika wawajibike kwa kujiuzulu, lakini huku kwakuwa baadhi ya waandishi wana uswahiba na kujipendekeza pendekeza kwa hawa viongozi basi wanaishia kuumauma tu ktk taarifa zao na uchambuzi
Kule hamna udikteta kupangia watu waongee kile unachopenda
 
kwa mfano waandishi wa habari za michezo wakanza kwa kutoa statement kuwa hawaandiki habari za simba wala kuizungumzia mpaka manara awajibishwe na mwajiri wake (simba).

Au Manara anafikiri hakuna namn ya kumdhibiti

Wasipoandika habari za Simba wataandika nini sasa? wasipoizungumzia Simba kipindi cha Michezo cha masaa matatu wataongelea nini? Simba kwa sasa haikwepeki,lakini pia kumbuka Simba usipoiandika unaipa sababu nzuri sana ya Platforms zake za Social Media kukua,watu kwa sasa kupata habari za Simba hawategemei Radio au Magazeti,enzi hizo hazipo tena. Wakiamua wasuse tu hakuna kitakachoharibika,lakini bahati mbaya sana sioni hata wa kususa.
 
EFM.
siku ya mechi ya Simba na dodoma mji.
Wakati wakiwa kwenye kipindi Chao cha michezo walishauri kuwa sababu Samia atahutubia Bunge ilitakiwa mechi hyo ichezwe saa 8 mchana au isogezwe mbele muda sababu wananchi watakuwa bize na hotuba.
Cha ajabu mechi ya Simba na utopolo imesogezwa mbele sababu ya rais alikuwa anataka kuangalia hyo MECHI.wamegeuka
Nilimsikia kabisa huu ushauri.. Lakini ndo yale yale tunasema Unafiki umekithiri sana.
 
Back
Top Bottom